Jamaa ana certificate ya Land Management and Evaluation, je anaweza kutumia cheti hiki kuingia kuchukua digrii katka chuo chochot binafsi hapa Bongoland?
Nawasilisha wadau....
kikowapi hicho mkuu?
Nenda tumaini university au saut,kuna watu kibao nawafahamu walitokea certificate na wakaunga hadi bachelor..ingawa cjui huko kwenye job market huwa inakuaje.
yOMBO makangalawe na tuna branch mpya tandale kwa Mkunduge
tcu walishizua huo utaratibu,ila kuna vyuo vilikuwa vinachukua cert.kuanzia upper second.ila sasa hawaruhusiwi tena.