Je anaweza kuchukua degree?

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
137
Jamaa ana certificate ya Land Management and Evaluation, je anaweza kutumia cheti hiki kuingia kuchukua digrii katka chuo chochot binafsi hapa Bongoland?

Nawasilisha wadau....
 
Jamaa ana certificate ya Land Management and Evaluation, je anaweza kutumia cheti hiki kuingia kuchukua digrii katka chuo chochot binafsi hapa Bongoland?

Nawasilisha wadau....

Aje Upendo Vocational Training anaweza akapata...
 
Jamani mkikosa vya kucomment si mkae kimya au ni lazima kucomment kila post haata ukiwa zuzuzs...?
 
haiwezekani kutoka certificate mtu achumpe hadi degree.....itabidi apige diploma kwanza..
 
haiwezekani kutoka certificate mtu achumpe hadi degree.....itabidi apige diploma kwanza..
 
Nenda tumaini university au saut,kuna watu kibao nawafahamu walitokea certificate na wakaunga hadi bachelor..ingawa cjui huko kwenye job market huwa inakuaje.
 
Nenda tumaini university au saut,kuna watu kibao nawafahamu walitokea certificate na wakaunga hadi bachelor..ingawa cjui huko kwenye job market huwa inakuaje.

I get you man, jamaa mwenyewe kanambia Tumaini wana offer mambo haya ila sasa ndo nilikuwa sina hakika...ASANTE MKUUU...
 
kama ulsoma mpaka 4m6 na ukapata princple moja ndio unaweza kusoma certificate ukaunga na degree kwenye baadh ya vyuo ndio wanatoa kama saut,mzumbe
 
tcu walishizua huo utaratibu,ila kuna vyuo vilikuwa vinachukua cert.kuanzia upper second.ila sasa hawaruhusiwi tena.
 
tcu walishizua huo utaratibu,ila kuna vyuo vilikuwa vinachukua cert.kuanzia upper second.ila sasa hawaruhusiwi tena.

vyuo bado vnaendelea bcoz waliomalza mwaka jana certificate mwaka huu wameendelea na degree kwa vyuo vya saut na mzumbe,ila co certfcate ya 4m4 n 4m6 alyepata princple moja
 
kama ana haraka na degree aende open univ. akasome 1year foundation then degree
 
Back
Top Bottom