Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Breed ndi nini? Dah! Rekebisha kwanzaAliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
kama hicho kipimo kimekupa mpaka majibu sisi ni kina nani hata tukatae hayo majibu? afu breed ni nini mkali?Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
Mara ya mwisho alipata siku zake tarehe 12/02/2019!. Ulimpima upt - Kwanini hakupima yeye mwenyewe? Msaada unaohitaji ni wa kujua njia bora ya kupima mimba au kutoa mimba?? Regardless, nendeni hospitali kwa ushauri bora.Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
No kwa sababu mvua za masika pia zimechelewa. Subiri kidogo tu mambo yanaenda kuwa mazuri.Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
Kuna watoto wengine wamezaliwa kwa mayai visaKwasababu na ww ni mtoto