Je ana mimba?

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
474
587
Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
 
hana siku nyingi ataingia siku zake, ila yawezekana mwezi huu akapitisha (muulize kama huwa anavusha kwa baadhi ya miezi)

yawezekana ana mzunguko mrefu siku 40+, ataingi si muda
 
hana siku nyingi ataingia siku zake, ila yawezekana mwezi huu akapitisha (muulize kama huwa anavusha kwa baadhi ya miezi) Mimi nilihisi ana ujauzito, mkuu

yawezekana ana mzunguko mrefu siku 40+, ataingi si muda
 
Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
kama hicho kipimo kimekupa mpaka majibu sisi ni kina nani hata tukatae hayo majibu? afu breed ni nini mkali?
 
Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
Mara ya mwisho alipata siku zake tarehe 12/02/2019!. Ulimpima upt - Kwanini hakupima yeye mwenyewe? Msaada unaohitaji ni wa kujua njia bora ya kupima mimba au kutoa mimba?? Regardless, nendeni hospitali kwa ushauri bora.
 
Aliingia breed tarehe 12/02/2019,mpaka Sasa hajaingia tena ni takribani siku 42,zimepita,mwezi huu tarehe 21, nilimpima upt ikaonesha negative, Kwa Hali hii atakuwa na mimba au la, nifanyeje Msaada tafadhali
No kwa sababu mvua za masika pia zimechelewa. Subiri kidogo tu mambo yanaenda kuwa mazuri.

kutoka: 22D Arnold st.
 
Hivi mimba ni kitu cha kupiga ramli kweli? si unaenda hospitali unapima au unanunua pregnant test alafu mnafanya? Mbona mnachosha watu na vitu vya kitoto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom