Je Amoeba zinapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex?

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,793
1,941
Habari ya majukumu wanajamvi,

Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex.

Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji kufahamu na madhara ya kusumbuliwa na amoeba kwa mda mrefu.

Asanteni.
 
Mkuu huo ugonjwa kama unakusumbua mara kwa mara inabidi ujitathmini. Maana mara nyingi huwapata watoto wadogo.

Unajua kwanini?

Watoto wadogo huogeshewa kwenye beseni. Unakuta mtoto kajisaidia haja kubwa lakini mtu bila kujua anamuogeshea maji hayo aliyotumia kumsafishia haja kubwa. Mtoto wakati huo, kila maji yakipita mdomoni anafurahi kuyachezea mdomoni na kuyameza mengine. Matokeo yake anapata hayo madhara ya kuumwa amoeba/amiba kama tulivyozoea.

Ukitoka haja kubwa nawa mikono yako vizuri na sabuni mkuu. Huo ugonjwa hutakuja kuupata tena.
 
Habari ya majukumu wanajamvi,
naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex.

Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji kufahamu na madhara ya kusumbuliwa na amoeba kwa mda mrefu.
Asanteni.
Biology haijakusaidia Mkuu ondoa zana potofu
 
Mkuu huo ugonjwa kama unakusumbua mara kwa mara inabidi ujitathmini. Maana mara nyingi huwapata watoto wadogo.

Unajua kwanini?

Watoto wadogo huogeshewa kwenye beseni. Unakuta mtoto kajisaidia haja kubwa lakini mtu bila kujua anamuogeshea maji hayo aliyotumia kumsafishia haja kubwa. Mtoto wakati huo, kila maji yakipita mdomoni anafurahi kuyachezea mdomoni na kuyameza mengine. Matokeo yake anapata hayo madhara ya kuumwa amoeba/amiba kama tulivyozoea.

Ukitoka haja kubwa nawa mikono yako vizuri na sabuni mkuu. Huo ugonjwa hutakuja kuupata tena.
Aache pia kula kachumbari na mishikaki iliyoandaliwa katika mazingira duni...

.....Sio watoto tu hata watu wazima huwapata inategemea na mazingira.
 
Nashukuru Mungu, tangu nimejitambua sijawahi pata huu ugonjwa. Na sikumbuki kama nimewahi upata, labda utotoni.

Kumbe hata kachumbari za mitaani zinaweza sababisha? Hapo mkuu umenifumbua. Maana sikuhizi nimeanza kula kachumbari za mitaani na ukizicheki kweli zimetengenezwa katika mazingira machafu na maji siyo safi
 
Back
Top Bottom