Je, African Continental Free Trade Area (AfCFTA) ni nzuri kwa Tanzania?

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
635
458
Je, African Continental Free Trade Area (AfCFTA) ni nzuri kwa Tanzania?

Mimi nadhani tunge anza kwanza na Sub-Saharan Africa Free Trade Area.

Hii tuna weza kuiita Savannah Africa Free Trade Area. Inaweza kuwa na currency yake ambayo itatumika sambamba na national currencies.

Currency ya Savannah Africa area inaweza kuitwa 'Shaba'.

National currencies zisiwe abolished, kama zilivyokuwa abolished huko Euro zone.

Halafu ni vizuri watu wafahamiane zaidi at the cultural and personal level.

Halafu watu wa mataifa haya wasihujumiane na wapendane na kushirikiana kiukweli na kindugu.

Taifa moja lisi jione bora kuliko taifa jingine.

Please discuss, as naona hii AfCFTA ina anza ku trend kwa kasi sana, kwenye international policy circles.

NB: Zone hii ijenge ustawi wa mwafrika mweusi.
 
Kila kitu watanzania mnaogopa. Mkiambiwa East Africa mnaogopa, mkiambiwa China mnaogopa, mkiambiwa European Union EPA mnaogopa, hata Afrika mnaogopa, mtaishia kujiogopa mpaka wenyewe kwa wenyewe. Ipo siku tutaambiwa mbeya wasipeleke mchele Dar. Awamu hii kila kitu ni hofu, hofu, hofu.
 
Na mnapoogopa kwa sababu za kijingajinga mtabakia huko. Wenzenu wanachangamkia fursa.
 
Topic za vitu muhimu kama hivi kwa mustakabali wa taifa letu, huwa havichangiwi sana humu. Utashangaa bandiko muhimu kama hili likaishia page1 ikizidi sana page 2..
P
 
Kutokana na kusuasua kwa EAC, nashauri nchi zote za jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zijiunge na SADC.
 
Topic za vitu muhimu kama hivi kwa mustakabali wa taifa letu, huwa havichangiwi sana humu. Utashangaa bandiko muhimu kama hili likaishia page1 ikizidi sana page 2..
P
Bandiko la jambo muhimu kama hili kuhusu AfCFTA hii ndio post ya 15!. Wajameni kiukweli kabisa kwenye hizi issues za Regional Tanzania ni kama hatupo!. Unaweza usijue hata wabunge wetu wa EALA wanafanya nini?!.
P
 
Back
Top Bottom