Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

Mremaaa

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
293
323
Salam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho wa wiki!

Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote.

Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
 
Hailuhusiwi,mmoji Apache kazi ndio ndoa ifungwe.

Ukiona kuna afsa amemuoa private wengi wanatumia majina ya wadogo/kakazao lakini yeye ndio anaishi nae kwa lengo la kutokuachishwa kazi kwa mmoja wao il I kipato cha familia kiongezeke.
 
Duh nilikua cjui
 
Back
Top Bottom