Je Afisa Cadet anaweza kumuuoa Private?

Mremaaa

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
208
250
Salam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho was wiki!
Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote
Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,709
2,000

Kupendana hakuna vyeo kaka
 
mlimilwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,178
2,000
Hailuhusiwi,mmoji Apache kazi ndio ndoa ifungwe.

Ukiona kuna afsa amemuoa private wengi wanatumia majina ya wadogo/kakazao lakini yeye ndio anaishi nae kwa lengo la kutokuachishwa kazi kwa mmoja wao il I kipato cha familia kiongezeke.
 
permist

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
507
250
Hailuhusiwi,mmoji Apache kazi ndio ndoa ifungwe.

Ukiona kuna afsa amemuoa private wengi wanatumia majina ya wadogo/kakazao lakini yeye ndio anaishi nae kwa lengo la kutokuachishwa kazi kwa mmoja wao il I kipato cha familia kiongezeke.
Duh nilikua cjui
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom