Je, aende tu akasome hiyo kozi au tumtafutie chuo Cha diploma kwa kozi za afya au engineering?

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,903
Dogo langu hapa amechaguliwa kwenda kusoma Degree program chuo kikuu kwa selection ya hii ya awamu ya pili kwa kozi ya education in science

Sasa wakuu ushauri wenu je aende tu akasome hiyo kozi au tumtafutie chuo Cha diploma kwa kozi za afya au engineering

Kutokana na kwamba dogo yeye malengo yake hayakuwa kusoma education

#Nawasilisha
 
Mambo ya familia hayo..ingekua ni mimi ningeenda kusoma kozi ya afya..
Dah kwaiyo dogo anataka kuliacha boom hivihivi
 
Ndo hvo mkuu yaan dogo alikua anawaza vitu vingine kabisa tofauti na education
Ungeweka matokeo yake ingekuwa rahis kumshauri kwakuwa hata diploma vyuo vya afya kuna competition pia bcoz kuna watu wana ufaulu wa juu sana wamekosa nafasi degree wanakimbilia diploma
 
Yeye amesoma cbg amepiga 2 ya 12 yaan D flat,lkn kuhusu o level alipata 2 ya 19 (aliscore chem C,bios B,geo C,Phy D na math C)
Aisee CBG bora angeenda diploma mapema alipomaliza form 4 sasa daah kapoteza miaka miwili bure A level..!! Na cbg kwa Degree hata kama angepata AAA hawezi soma course yoyote ya Afya labda Env health... Alishindwa kuzichanga karata vizuri na mapema labda sababu ya kukosa ushauri may b na pesa changamotoo..
 
Anasoma kozi za Afya
 
Kozi gani????
Kozi yoyote anayoitaka kwa level ya diploma anasoma kwa kutumia tu cheti cha Kidato cha nne maana amafaulu vizuri masomo ya sayansi.

Kama home mambo safi asome pharmacy, kama mambo sio safi sana means atategemea zaidi kuajiriwa kuliko kujiajiri akapige diploma ya nursing au Clinical medicine au med. Lab
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom