Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,180
Wanabodi,
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" hili ni bandiko la swali "Jee Acacia Waanza Kufungasha Kiaina?!. Wauza 51% ya Shares Mgodi -wa Nyanzaga, huku Wakijipanga Kuuza shares zote asilimia 100%!", hawa jamaa hawatatuacha solemba ?!.
Huku mazungumzo kati ya serikali yetu na kampuni ya Barrick, yakiendelea ambapo yamefikia hatua nzuri, mgodi wa Acacia ambao tunaudai matrilioni ya fedha kutokana na kutuibia kwenye makinikia, wameanza kufungasha mdogo mdogo kwa kuanza kuuza shares zake kidogo kidogo.
Katika website yao, leo wametangaza kuuza asilimia 51% umiliki wa mgodi wa Nyanzaga kwa kampuni ya OneCorp Tanzania Limited. Ukisikia kampuni imeuza asilimia zaidi ya 51% kwa kampuni nyingine, hiyo kibiashara ni kuachia bodi kiaina, aliyeuziwa anamiliki majority shares na imeeleza wazi ina mpango wa kuiuzia OreCorp Tanzania, shares zote zilizobakia, hivyo Acacia kujitoa kabisa katika umiliki wa mgodi huo!.
Wasiona mbali, wanaweza kuona uamuzi huu kama ni uamuzi tuu wa kawaida wa kibiashara kwenye, mergers and acquisitions lakini kwa sisi waona mbali, hizo ndizo dalili za awali za watu kutaka kuachwa solemba!. Nawaombeni sana msije kushangaa, kabla Acacia haijaunda ile kampuni mpya ya kumilikiwa kwa ubia na Tanzania ambayo tutamiliki asilimia 16% ya shares, mnaweza kukuta kila kitu kimeishauzwa kwa Wachina!.
Taarifa yenyewe rasmi ni hii
PRESS RELEASES
Nyanzaga Project Update
06 Sep 2018
Further to the announcements made on 20 July 2018, the Tanzanian Fair Competition Commission (FCC) has now granted its approval for OreCorp Tanzania Limited (OreCorp Tanzania) to increase its interest in Nyanzaga Mining Company Limited (NMCL) to 51%. This move remains subject to: (i) the approval of the newly established Mining Commission, the application for which was lodged at the same time as the application for FCC approval; and (ii) the future payment of US$3 million to the Acacia Group.
In addition, members of the OreCorp Group have now entered into a completion agreement with Acacia and other members of the Acacia Group to allow OreCorp Tanzania to move to 100% ownership of NMCL, and thereby 100% ownership of the Nyanzaga Gold Project (Project). This move remains subject to: (i) the Tanzanian regulatory approvals referred to above; (ii) the grant of the Special Mining Licence (SML) in respect of the Project; and (iii) the making of a future payment of US$7 million. Following completion Acacia will retain a net smelter return production royalty over the Project, capped at US$15 million.
Both OreCorp and Acacia believe that a simplified ownership structure of NMCL is beneficial to the future development of the Project and would enable it to be best placed to provide significant benefits to Tanzania and all stakeholders.
Nyanzaga Project Update
© Copyright 2018 Acacia Mining plc. All rights reserved
Kama hawa jamaa hawajatulipa hata senti tano na sasa ndio wanaanza kuuza mali zao kwa asilimia 100%, hawa jamaa hawatakuja kweli kutuacha solemba?.
Msingi mkuu wa majadiliano kati ya Barrick na serikali yetu ni trust and transparency, yaani uwazi na kuaminiana, tayari kuna minong'ono, yale makontena ya makinikia, yamehamishwa mahali yalipokuwepo, isije ikawa yameondoka!.
Hitimisho.
Kwa vile Acacia ndio the determinant ya kila kitakachoamuliwa na mazungumzo yetu na Barrick, then serikali yetu iangazie kwa makini, kila kinachofanywa na Acacia, kukiangazia kina maanisha nini, what is the motive behind his mergers and acquisitions wakati tunapaswa kuunda kampuni mpya ya kugawana 50/50 ya faida. My sixth sense tells me kuwa kabla hatujafika huko, huku tutakuwa tumebakiwa na skeletons!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Update
Hata hivyo, baada ya Tanzania kuwa na sheria mpya ya madini kuwa serikali lazima imiliki 16% percent ya migodi yote na gesi yote, na hawa Acacia wamekubali tutagawana faida 50/50, nilidhani as of now, Acacia walipaswa kusimamisha all mergers na acquisitions mpaka the regulations za sheria mpya are in place. Kitendo cha kuuza 100% stake, wakati sisi tayari tuna 16% stake yetu, nadhani hakijakaa vizuri. Barrick nao wako kwenye mazungumzo na Wachina ku off load shares zao zote za Acacia, by the time tunakuja kushtuka, tunakutana na mifupa, nyama yote imeliwa!.
Mazungumzo yetu haya ndio ya kwanza mimi kusikia wazungu hawana haraka!. Extractive Industries ni diminishing resources, zinakwenda zikipungua!, take it from me, by the time tunakuja kugawana hiyo 50/50, it might be ni 50/50 ya hasara!.
P.

Hii ni taarifa muhimu sana, kumbe mkataba wa kuuziana shares ulianza toka mwaka 2015 kabla hata ya sakata la makinikia!. Sisi tumejua kuwa baada ya kushukiwa kuwa walikuwa wanatuibia, ndia kaamua kuuza kila kitu na kusepa, kumbe sio hivyo!.briefly walikuwa na kitu kinaitwa earn-in agreement na acacia, nadhani mkataba ulisainiwa september 2015, at first walipata 5% ya shares baada ya kutumia $1m, baadae waliendelea to perform earn-in obligations (pre-feasibility study)zilizowafanya kutumia jumla ya $14m na kupata 25% ya ownership, wamelipa $3m kama ilivyokubaliwa kwenye mkataba na ku-qualify kumiliki mgodi kwa asilimia 51. wanategemea kulipa another $7m zitakazowaleta kwenye 100%
kwa ufupi.