Je, 2020 ni mwaka wa majanga kidunia na vifo vya watu maarufu?

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,310
1,628
Mwaka huu 2020? ukiwa bado ni mpya kabisa, tumeshuhudia majanga mengi yanatokea kidunia pia na ndani ya nchi ya Tanzania, nini tafsiri yake? au ni mwaka wa majanga na utakaoondoka na watu maarufu?

Kwa Tanzania hapa ndani ya mwaka huu ikiwa ni mwanzo wa february tuu, tayari tushapata vifo vya watu zaidi ya 20 waliokufa kwa mafuriko huko kusini mwa tanzania (watu zaidi ya 20), haijaishia hapo wamekufa watu 20 kwenye kongamano la kukanyaga mafuta la Mtumishi wa Mungu Mwamposa huko Moshi (watu 20), msanii wa singeli wa Tanzania Meja Kunta anafariki tarehe 2 mwezi wa pili akiwa anapatiwa matibabu baada ya kupata ajali (amefariki 02/02, 2020).

Majanga kama virusi vya Corona huko China, kifo cha kijana nguli mchezaji wa mpira wa kikapu huko Marekani 'KOBE BRYANT aliyepata ajali ya helicopta na kufa na binti yake wa miaka 13 pamoja na wengine 7 waliokuwemo kwenye helikopta.

Nini maana ya number 2020?

Namba sifuri (0) inamaanisha hakuna kitu au kwa kiingereza 'null', kwenye 2020 ukizitoa sifuri mbili inabaki namba 22 iliyosimama.


NINI MAANA YA NAMBA 22 KIBIBLIA?

The Biblical and the Prophetic Meaning of Number 22. It is known that numbers have special symbolism in the Bible, Number 22 is one of the numbers that are very important in this book. Since ancient times it has been believed that number 22 is the number of God, as well as the number of Revelation.

According to the Bible, number 22 is usually considered to be the symbol of disorganization, This number is made up of numbers 2 x 11 and it is known that number 11 is a symbol of chaos and disorder.

It is known that the first king of Israel, whose name was Jeroboam I, was on the throne 22 years, There was also another king of Israel called king Ahab, who also reigned for the period of 22 years.

The Bible says that God created 22 things in only 6 days of creation, Another biblical fact about number 22 is that the Hebrew alphabet is composed of 22 letters, These letters are used for the composition of the Word of God.

It is also known that the Aaronic Old Testament contains 22 books, The Bible says that there were 22 generations between Adam and Jacob. The 119th psalm has 22 parts, while the 25th psalm is made up of 22 verses.

The word “light“ is used 22 times in the Gospel of John, It is also important to say that the book of John was actually the 22nd book that is contained in the New Testament. It is interesting to say that the Judge of Israel, whose name was Jair, was in the service for the period of 22 years. Sometimes in the Bible number 22 is related to death.


STUDY NUMBER 22
Ipo siri ndani ya namba 22



HEISENBERG BLUE METH
What-Does-the-Number-22-Mean-in-the-Bible-and-Prophetically-700x400.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom