Je, 2020 ni mwaka wa majanga kidunia na vifo vya watu maarufu?

Alison Becker 13 alichukua champions league,, akiwa na namba 13 ,, mwaka jana akiwa na liver

Usiwe mtumwa sna wa Mambo ya nyota,, numbers,, rangi ect ,, hayana asilimia zote ya tafsiri yko katika Maisha , ni prediction kuna muda inakuwa kweli na muda si kweli!!

Belive in God who is Creater of Everything!! Universe ect!

Yeye ndiye anaepanga! Na Muamuzi wa mwisho wa Mambo yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nakuunga mkono hii inapaswa imfikie mtoa mada ahahahahhahaha ata mimi nilikuwa nampinga
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana unadhani kifo ni kwa watu maarufu tu hudhanii kwamba hata wewe kifo kinakuhusu na unaweza ukakata kauli 2020 hii
 
Kanuni gani ya namba ambayo inavunja hiyo 2020 na kuwa 22. Maana kwa mujibu wa elimu ya namba (numerology) hiyo ni sawa na 2+0+2+0=4

4 maana yake ni jiwe la msingi, ni mwaka mzuri kuanza jambo lolote jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom