Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,396
- 78,529
Kijana Habash achakarike kuhifadhi jina la ukoo, huyo demu tasa kashampotezea time.
kijana habash achakarike kuhifadhi jina la ukoo, huyo demu tasa kashampotezea time.
hujakua bado...
Unapata dhambi sana...kwani ulivyoongea hivyo ndo umejiona mjanga??...hakupenda yy kuto kuzaa ongelea swala lililopo mbona wazitafuta dhambi kwa nguvu ww...
Kijana Habash achakarike kuhifadhi jina la ukoo, huyo demu tasa kashampotezea time.
....zamani
Alikwenda kanisani akiwa 'mtupu' hivi?
...kama unavyoonaSina uhakika kama ni kanisani
....ndoa ilikua ya BOMANiAlikwenda kanisani akiwa 'mtupu' hivi?
...Ahsante mkuu...unataka Zaidi?duh!,mleta mada hongera kwa kuifukunyua hiyo picha toka huko ilikokuwa.
we ndio agent wa kuwagawia watu dhambi hapa duniani ee?