JCB: Ughaibuni ndio basi..?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Jacob Makala my brother kutoka Watengwa Crew (WTC), Kundi lenu asilimia flani ya member walitimkia mamtoni akiwemo Chindo Man (Mbwa) ambae anaishi na familia yake LA Marekani, Yuzzo Lubama pia, na Miaka ya Nyuma kaka mkubwa ulipofunga ndoa na Mzungu Diana Jorgensen mwana mama Mdenimark huyu uliondoka pia,

Nakumbuka muda baada ya kufunga ndoa nilisikiiza interview yako Clouds ulikuwa na Mkeo na mtoto ndio alikuwa hana muda mrefu sana tangu azaliwe ndio siku uliokuwa unaondoka Tanzania na kuelekea Denmark.

Mwaka jana kama sijakosea ndio umerudi na nimefuatilia interview zako nyingi hasa uliyofanya na Skywalker kupitia Dizzim Online nilijifunza kitu kupitia interview ile.

Ni muda sasa uko Arusha na kuna kipindi ulienda Magu kule, it seems like umestuck kurudi Denmark ambako kuna familia mke na mtoto, Je maisha ya kule yamekushinda au hujakubaliana nayo nikirefer interview niliyoitaja hapo juu, maisha ya kule ni upweke sana kuliko chuganiani masta,

Mwenzio Chindo yuko na familia yake na safari hii amekaa sana ughaibuni tofauti na ww, kama una mipango ya kurudi ni lini jombaa..?

Ushapita machochoro yotee brazaa na amini huwezi feli katika mishe zako.
 
Aisee hao mademu wanawapata wapi sijui? Au ndio wazee wa kutega arachuga.
 
Aisee hao mademu wanawapata wapi sijui? Au ndio wazee wa kutega arachuga.
huyu mwana mama inasemekana jamaa yeye mwenye anadai alikuwa anaperform alivoshuka mwanamama akamfuata yaani akamuelewa baadae yakawa yaliyokuwa
 
“Wanaume tumebaki wachache” kwa iyo mkuu unataka kila jambo awe anakueleza ..na kama ni mtu wake wa karibu kwanini msimface kupata majibu ya maswali yako
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom