Jaymond wa Instagram

Sema siku hizi Instagram situmii, kiukweli mimi watu wengi wanaodaiwa wanachekesha mimi hata hawanichekeshi

Hao madogo wa Serious Fun huwa hata kama hawajanichekesha, napenda ile brain yao kwenye kutunga kichekesho.

Wanadili na common issues kwenye maisha, nakuwa tu nawaelewa.
 
At least Zacky Moris anaweza kukufanya ucheke tu na ile mipasho yake ya kutiririka
 
Napenda sana Comedy! Comedians wengi tanzania hawako kisasa! Joti ana jitahidi. Ila kwa ujumla Comedy dunia ya leo inabidi uwe well informed na updated!

Check hii! Kansiime ni Comedian bora Afriac

 
Huwa najaribu kufatilia ili nicheke nashindwa kabisa.

Kuna kikundi wanajiita "Serious Fun" huwa angalau ninawaelewa.

Jaymond kadri siku zinavyoenda naona kama anatumia nguvu zaidi.
Serious fun walijichanganya wakatengana kama Timamu ya kina mkaliwenu saivi wote chalii!

Bwana mjeshi anabebwa na Mr beneficial

Somo la kujifunza mkianza kama team work malizeni hivyo hivyo mkitengana mwafwaaa in Jiwe's voice.
 
Jay mond, Mc pilipili, Idriss Sultan na kile kijamaa kinajiita Mama chogo hamna kitu kabisa wanafosi tu kisa wanafollowers wengi insta ila hamna kitu pale.
 
Labda anakuchekesha wewe mwenye ugonjwa wa kuchekacheka hovyo.

wale bongo comody wa insta naona wengi wanaforce wengine sasa wanataka kuwa kama K sasa.yani sijawahi kucheka hata kidogo.
sasa kuna mmoja tokea hawe tajiri yule mweusi wa dubai kila kukicha yeye kejeli na zarau kama kapata yeye
 
Najaribu kuwafuatilia hawa vijana wa instagram ili nione kama wanachekesha, ofcoz napenda sana comedy ila hawa nimewashindwa. At least nikiangalia church hilĺ show naburudika. Hawa wa kwetu wanahitaji muda kujipanga.
 
Back
Top Bottom