Angalau huyu kuliko yule anajiita Dulvani sijui
Sema siku hizi Instagram situmii, kiukweli mimi watu wengi wanaodaiwa wanachekesha mimi hata hawanichekeshiHuwa najaribu kufatilia ili nicheke nashindwa kabisa.
Kuna kikundi wanajiita "Serious Fun" huwa angalau ninawaelewa.
Jaymond kadri siku zinavyoenda naona kama anatumia nguvu zaidi.
Sema siku hizi Instagram situmii, kiukweli mimi watu wengi wanaodaiwa wanachekesha mimi hata hawanichekeshi
Inawezekana, sina mabilioni kama wewe.Tatizo huna hela una stress wakati wote huwezi kuchekesheka. Tafuta hela.
Bila kujigeuza mwanamke hawezi kuigizaAngalau huyu kuliko yule anajiita Dulvani sijui
Ni yeye huyupromo
Serious fun walijichanganya wakatengana kama Timamu ya kina mkaliwenu saivi wote chalii!Huwa najaribu kufatilia ili nicheke nashindwa kabisa.
Kuna kikundi wanajiita "Serious Fun" huwa angalau ninawaelewa.
Jaymond kadri siku zinavyoenda naona kama anatumia nguvu zaidi.
Naam!We utakuwa unapenda kucheka cheka tu, Jay hachekeshi wala nini
Embu tumuoneJay PUA
Labda anakuchekesha wewe mwenye ugonjwa wa kuchekacheka hovyo.