JAY MELODY AFANYA KITUKO

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
305
250

Yaan kuna wasanii hawaeshimu kabisa protocol za mavazi.
Haya cheki huyu jay melody nani anampa kiburi cha kuvaa suruali ambayo haimtoshi, suruali ambayo kavalia mkanda huku kafunga suspendor(sambaloketo:dk1.20). Ni jambo la kushtusha sana, mbona inafahamika kama una suruali inayopwaya kiunoni chagua kimoja unachotaka kuvalia kama ni mkanda au suspendor! Sasa kwanini avae vyote, ana lengo gani na kizazi kijacho, BASATA BASATA BASATA mpo wapi juu ya hili, huyu msaini kakosa maadili ya ustaarabu wa suspendor.
Hivi vitendo havikubaliki katika jamii yetu ya kitanzania.

Asanteni sana
 

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,582
2,000
Kanaota kabisa kanaota vipi nipaeleze dodo nimeokota, napenda sana wananita zero J nunda.


Lunatic
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom