JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

Nchi hii tunaliwa kila siku na hatuna cha kuwafanya wanaotuibia.Mtu kajiunga SACCOS (Mlimani SACCOS Limited,Udsm). Kanunua hisa,Pia akawa kuna akiba anaweka imefikia almost tshs 6m,akachukua 10m,anaendelea kulipa.Kwa hiyo ana makato ya Akiba,ana makato ya mkopo.Mkopo Ukiwa umebaki kama milioni sita hivi mara SACCOS imenyimwa Leseni na BOT.Saccos imefungwa kwa Muda wamefanya auditing wamekuta Saccos haina pesa yeyote.

Mtu anabaki anajiuliza afanyaje,maana milioni sita za deni zinaendelea kukatwa pia Akiba inaendelea kuwekwa kupitia makato.Lkn unaambiwa SAccos haina kitu na hizo hela Ni kama zimeliwa.

Najiuliza kila mwaka SAccos inafanyiwa ukaguzi na kampuni zikizosajiliwa na hakuna kasoro inaonekana,inakuaje ghafla waseme kuna upotevu mkubwa wa Pesa?
 
Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao.

Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana bima ila ndio hvyo tena. Ukiwaomba mazao yako ukauze mwenyewe wanasema sera ya uwekezaji haipo hvyo

Wame anzisha mradi Mpya wa Mifugo huku wakulima hawajalipwa hela zao ni dhahiri kwamba hii ni JANJA JANJA inafanyika wameitisha mkutano wa kujadili kinacho endelea lakini naambiwa hua wanafanya hvyo kutuliza upepo.

Nimeenda kuuza hisa zangu kwa faida kabla mambo hayajawa Wana lakini nimekosa imani na kampuni za watanzania kwenye kununua hisa

Nawasiwasi hata zikija kampuni nyingine ambazo hazitokua na utapeli watashindwa kabisaa kupata wanunuzi wa hisa.
Najiuliza kwa nini kampuni ya Jatu inafumbiwa macho wakati utapeli wao hauna tofauti yoyote na ule wa mr kuku. Mbaya zaidi ni kuwa promosheni zao zimepamba moto kila Kona ya nchi hii na kwa vile viongozi wa kisiasa Kama Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanawapamba sana basi Wananchi wanavutiwa kujiunga na kutoa pesa zao. Mtu anaweza kudai kuwa Wananchi ni wajinga kuwekeza huko lakini ukweli ni kuwa si wengi Wana uwezo wa kukodi mashamba na kulima na wanatoa hela zao kwa nia nzuri tu si ujinga. Kwa kinachoendelea yaani utapeli mkubwa na bado wanaachwa waendelee kuvuna hela za watu kwa visingizio vingi na promosheni nyingi kuna nguvu gani nyuma yao na nani anawapa jeuri? Kama mr kuku alipigwa biti kwa ajili ya upatu hata hawa na wengine kama wao wapigwe biti tu kwani wote ni walewale hakuna tofauti kati yao ni majina tu huyu Deci, huyu mr kuku, huyu Namaingo, huyu Qnet nk ni upatu tu.
 
Mimi niliweka pesa Jatu zaidi ya million 40. Sasa hivi nimeishaona ni wahuni tu na sidhani kama kweli wanalima. Wanaweza kuwa wanalima mashamba machache sana ila wanauzia watu mashamba mengi.

Magufuli alikuwa aishaanza kuwakagua. Alivyoanza tu wakakatisha kilimo cha maharage. Siku alipofumba macho wakaanza tena. Sasa hayo maharage nadhani wanalima kidogo sana.

Biashara yao ni utapeli mtupu. Mtego wao upo kwenye kununua mazao. Wao wanasema wenyewe tu ndo wananunua mazao yako. Ukivuna gunia 100, wanajidai wananunua gunia 5 tu, afu nyingine hawana hela. Wanakuchezeaaaa, yaani hizi gunia 95 wanaweza kukaa nazo kama miaka miwili. Sasa jiulize, unawezaje kuwa na maharage afu ukose mtu wa kuyanunua?

Nadhani wao wanacheza na watu. Hawawezi kukuruhusu uyaone hayo maharage. Sidhani kama yanakuwepo na ndio maana wanakuwa hawana pesa ya kukulipa. Kilimo chao ni hewa kwa ujumla. Humo maofisini wanafanya kazi ya kutongoza vibinti vidogo. Wale wakuu wote...Simbano, Isare...ni matapeli. Inawezekana wakafungua kampuni nyingine inayofanya vitu kama hivi afu wao wakajisogeza nyuma kama hawahusiki. Kuweni makini sana. Ukiona jina lao sehemu usidhubutu. Wanafanya hivi sababu nchi yetu viongozi hawajali watu.
 
Ndugu,

Umepoteza 40M?? Ningekuwa mimi ningeshaiweka zangu utt fasta. Baada ya miaka 3 nina kama 70M bila ya kutoa jasho.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nisaidie namna ya kuwekeze mfuko wa UTT na ni mfuko upi wenye tija na faida nzuri,nina wazo la kuwekeza huko this year,naomba muongozo
 
Mkuu huna bastola?

Kama unayo nenda nayo ofisin kwao wambie wakulipe pesa au wakuoneshe hayo mandondo
 
Nisaidie namna ya kuwekeze mfuko wa UTT na ni mfuko upi wenye tija na faida nzuri,nina wazo la kuwekeza huko this year,naomba muongozo
Mfuko mzuri ni Liquid fund na Bond fund.
Fungua akaunti kwa njia ya simu. Tumia CRDB sim banking app kuweka salio kwa akaunti yako ya UTT.

Jaz fomu peleka kwenyw tawi lolote la CRDB Bank, hawa ni mawakala wao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mfuko mzuri ni Liquid fund na Bond fund.
Fungua akaunti kwa njia ya simu. Tumia CRDB sim banking app kuweka salio kwa akaunti yako ya UTT.

Jaz fomu peleka kwenyw tawi lolote la CRDB Bank, hawa ni mawakala wao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kununua vipande kwa Simbanking makato yakoje?
 
Mfuko mzuri ni Liquid fund na Bond fund.
Fungua akaunti kwa njia ya simu. Tumia CRDB sim banking app kuweka salio kwa akaunti yako ya UTT.

Jaz fomu peleka kwenyw tawi lolote la CRDB Bank, hawa ni mawakala wao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bond fund wanalipa Interest kiasi gani kwa annum? Na ni Compounded ama simple Interest
 
Najiuliza kwa nini kampuni ya Jatu inafumbiwa macho wakati utapeli wao hauna tofauti yoyote na ule wa mr kuku. Mbaya zaidi ni kuwa promosheni zao zimepamba moto kila Kona ya nchi hii na kwa vile viongozi wa kisiasa Kama Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanawapamba sana basi Wananchi wanavutiwa kujiunga na kutoa pesa zao. Mtu anaweza kudai kuwa Wananchi ni wajinga kuwekeza huko lakini ukweli ni kuwa si wengi Wana uwezo wa kukodi mashamba na kulima na wanatoa hela zao kwa nia nzuri tu si ujinga. Kwa kinachoendelea yaani utapeli mkubwa na bado wanaachwa waendelee kuvuna hela za watu kwa visingizio vingi na promosheni nyingi kuna nguvu gani nyuma yao na nani anawapa jeuri? Kama mr kuku alipigwa biti kwa ajili ya upatu hata hawa na wengine kama wao wapigwe biti tu kwani wote ni walewale hakuna tofauti kati yao ni majina tu huyu Deci, huyu mr kuku, huyu Namaingo, huyu Qnet nk ni upatu tu.
Mwenyekiti wa Body ya Jatu ni mume wa NMB Managing Director. Itakua kuna mikono ya watu wazito ndio mana mpaka leo hao kina Isare na Simbano hawajapelekwa Segerea
 
Mimi niliweka pesa Jatu zaidi ya million 40. Sasa hivi nimeishaona ni wahuni tu na sidhani kama kweli wanalima. Wanaweza kuwa wanalima mashamba machache sana ila wanauzia watu mashamba mengi.

Magufuli alikuwa aishaanza kuwakagua. Alivyoanza tu wakakatisha kilimo cha maharage. Siku alipofumba macho wakaanza tena. Sasa hayo maharage nadhani wanalima kidogo sana.

Biashara yao ni utapeli mtupu. Mtego wao upo kwenye kununua mazao. Wao wanasema wenyewe tu ndo wananunua mazao yako. Ukivuna gunia 100, wanajidai wananunua gunia 5 tu, afu nyingine hawana hela. Wanakuchezeaaaa, yaani hizi gunia 95 wanaweza kukaa nazo kama miaka miwili. Sasa jiulize, unawezaje kuwa na maharage afu ukose mtu wa kuyanunua?

Nadhani wao wanacheza na watu. Hawawezi kukuruhusu uyaone hayo maharage. Sidhani kama yanakuwepo na ndio maana wanakuwa hawana pesa ya kukulipa. Kilimo chao ni hewa kwa ujumla. Humo maofisini wanafanya kazi ya kutongoza vibinti vidogo. Wale wakuu wote...Simbano, Isare...ni matapeli. Inawezekana wakafungua kampuni nyingine inayofanya vitu kama hivi afu wao wakajisogeza nyuma kama hawahusiki. Kuweni makini sana. Ukiona jina lao sehemu usidhubutu. Wanafanya hivi sababu nchi yetu viongozi hawajali watu.
Nimelisikia jusi kweli asbh ukilalamika kupitia cloud pb na mazungumzo yako Ni haya haya pole San mkuu nilichukia sna huu utapeli unaoendelea nnchi hi na hkuna wa kukemea mm binafsi nimetapeliwa na swala energy nilinunua hisa mle mkp leo cjauza Wal sijui yanayoendelea kule
 
Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao.

Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana bima ila ndio hvyo tena. Ukiwaomba mazao yako ukauze mwenyewe wanasema sera ya uwekezaji haipo hvyo

Wame anzisha mradi Mpya wa Mifugo huku wakulima hawajalipwa hela zao ni dhahiri kwamba hii ni JANJA JANJA inafanyika wameitisha mkutano wa kujadili kinacho endelea lakini naambiwa hua wanafanya hvyo kutuliza upepo.

Nimeenda kuuza hisa zangu kwa faida kabla mambo hayajawa Wana lakini nimekosa imani na kampuni za watanzania kwenye kununua hisa

Nawasiwasi hata zikija kampuni nyingine ambazo hazitokua na utapeli watashindwa kabisaa kupata wanunuzi wa hisa.
Bro naomba namba yako nikupigie
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom