Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao.
Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana bima ila ndio hvyo tena. Ukiwaomba mazao yako ukauze mwenyewe wanasema sera ya uwekezaji haipo hvyo
Wame anzisha mradi Mpya wa Mifugo huku wakulima hawajalipwa hela zao ni dhahiri kwamba hii ni JANJA JANJA inafanyika wameitisha mkutano wa kujadili kinacho endelea lakini naambiwa hua wanafanya hvyo kutuliza upepo.
Nimeenda kuuza hisa zangu kwa faida kabla mambo hayajawa Wana lakini nimekosa imani na kampuni za watanzania kwenye kununua hisa
Nawasiwasi hata zikija kampuni nyingine ambazo hazitokua na utapeli watashindwa kabisaa kupata wanunuzi wa hisa.