Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yametok vip umefaulu kwanza?wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.
lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
wew ni usalama wa taifa?. unatishaaaNaendelea kujipanga
wew ni usalama wa taifa?. unatishaaaNaendelea kujipanga
Matusii ?!!!Thread imeanzishwa na JINGALAO kwa hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa aliyeanzisha ni kubwa la wajinga