Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.

lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
Matokeo yametok vip umefaulu kwanza?
 
Kuna mwanajamii forum alisema magufuli unaweza kumsema vibaya vyovyote ukiwa mbali ila ukibahatika kukutana naye utajikuta unapata upako wa kumkubali na kunsifia kama alivyofanya lowassa Leo.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom