Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Jambo kama hulijyi uliza, ukidhani nguvu hii ilitokana na "uwezo"wake wa kuongoza umebugi. Fuatilia uchaguzi wa ccm wa 2012; uwt na uvccm, ndio utajua nguvu ya lowasa imetokea wapi ndani ya kamati kuu na halmashauri kuu.
nasisitiza hii thread ibakie hivihivikifupi chadema imebakwa mwaka huu. Hili wingi la kila mtu akishindwa/kukatwa ccm anahamia chadema huhitaji kuwa na akili za ziada kujua kuna mamluki/majasusi hawatatumia fursa hiyo kuingia chadema na kuivuruga, chadema hadi uchaguzi mkuu unaisha kitakuwa kimedhoofika sana. Ni suala la kusubiri na kuona
... halafu tufuatilie hotuba ya ufunguzi kwenye website!!!!Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Upepo wa mwaka 1995 usiufananishe na upepo wa mwaka huu mambo mengi yamebadilika

Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Chadema na miaka yote kisiasa Leo inakodi wagombea kutoka vyama vingine!!!! This iz shamefully.......