Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

Haiingii akilini kachero makini kama Apson kumpigia debe EL. Watu wenye akili nyingi walishajua mkanda mzima...mzee alikuwa kwenye "special assignment".
 
Kuna uzi nilichangia ila watu hawakunielewa nilisema adui anaevujisha siri za lowasa ni Apson sababu hawezi kuwa usalama wa taifa alafu aende kinyume na kiapo chake akabaki hai na Rostam ni jasusi alie bobea analijua hilo
 
Ama kweli Lowassa Mwanaume.....kila media Uzi n yeye tuu.....anatishaaaa!Hii nchi kama sio Lowassa basi n Ukawa.
 
Nadhani kuna ukweli ndani yake kataja mpaka hotel aliyofikia kinachofanya mkatae ni nini ?.

mkuu ngongo humu kuna watu walishakabidhi vichwa vyao tangu lowasa atangaze kugombea urais. Ngongo Lowasa ni mwarusha mjanja ila kuwa rais ni ngumu kuliko yeye kuwa mmasai
 
Rajabs,naface,lizabon na tatamadiba huyu ni mtu mmoja kama shigongo vile
 
Rajabs,naface,lizabon na tatamadiba huyu ni mtu mmoja kama shigongo vile

Huyo ni makonda keshachukua kiinua mgongo chake toka kwenye Yale mabilioni ya Gadafi alimwambia Membe ampe chake mapema maana anajua Lowasa akiwa Rais ataweza kukosa ukuu wa wilaya japo Lowasa si mtu wa Visasi Kama Membe . Huyo mtu ni mtuminishi mwaminifu wa membe na ndiye bingwa wa kubuni na kupika story feki za kumchafua Lowasa ,
 
Kitoli ni miongoni mwa hoteli ndogo na za hadhi ya chini sana kwa mtu kama Apson Mwang'onda....nai discredit taarifa hii kwa kusema tu Apson anaweza kufikia sehemu kama hii ambayo iko uswahilini huko Hazina....huwezi kuwa chief strategist ama tu kuwa former TISS DG halafu ukae sehemu isio na vyumba maalum wala bustani wala private areas...kifupi mtoa mada hata Kitoli Hoteli haijui
 
Nimekuamia toka awali kuwa hii ni story ya kutengenezwa na Timu ya membe .
 
rajabs

Mkuu Rajabs, hwa jamaa UnderCover ni hatari sana mkuu..Apson hakuwa upande wa lowassa kazi aliyotumwa kashaimaliza...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom