mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,287
- 793
Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc
Membe ni nani kwanza?
Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc
Mwaka 1985 Mwinyi amechaguliwa kuwa rais Nchimbi alikuwa na umri wa miaka 15.
Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc
Timu membe wametumwa na membe watengeneze story ya Uongo ili wasikie majibu sasa nadhani boss wao kapata jawabu ....napata shida sana kuamini hii post, kwanza mleta mada siamini kama unauwezo wa kumpeleleza Apson, pili plan aliyoiandaa apson mwenyewe hawezi kuibadili just over night. Tatu Rostam hana uwezo wa kudrive interest za apson na kumanipulate fate yàke. hili haliwezekani hata siku moja. Mwisho kwa Mzee jasusi mwenye upeo kama apson siamini anaweza kutumika bala anaweza kutumia watu kuweka mtu wake. So hainiingii akilini hizi hoja nyepesi sana....
Membe ni Fisadi mkubwa kuliko wote tena ni mwizi mkubwa , ununuzi wa nyumba za balozi huko Nje zote kapiga 10% , lile fungu la pesa za wageni wa kimataifa anaiba sana hizo pesa, Pia mabilioni ya marehemu Gadafi kayaiba kisha akamteketeza balozi wa Libya , membe hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .
Membe ni nani kwanza?
Habari mpya hii, weka na vielelezo ueleweke vizuri kama nawe sio timu fulan
Ni mtu Fulani hv mpanda visasi , fitna na kuchafua wengine kwenye mitandao
Ebooo!!!
Anataka uraisi na yeye???
Anautaka kwa gharama yeyote ile na alishaapa akiingia ikulu atajenga magereza mapya ili wabaya wake woote awafunge , membe ni mtu Hatari sana.
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takriban wiki sasa. Lengo ni kuwajuza kinachojiri katika mchakato wa CCM wa kumchagua mgombea wake wa Urais.
Jana lile Jasusi na Kachero Mstaafu wa Idara Ya Usalama Wa Taifa, Colonel Apson Mwang'onda limewasili hapa Dodoma. Amefikia Kitori Hotel iliyopo eneo la Iringa Road hapa Dodoma.
"Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakikisha Edward Lowassa kamwe Hachaguliwi kuwa Rais wa nchi hii", nilimnukuu Jasusi huyo akijigamba kwa Mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo.
Inaelekea Jasusi huyu (Apson) amebadili msimamo kwani miezi michache tu iliyopita alikuwa anampigania Lowassa usiku na mchana ili awe Rais wa Awamu ya Tano.
Lakini sasa amemgeuka. Sababu ya kumgeuka inasemekana ni baada ya kunusa harufu ya kubaini kuwa Lowassa siyo chaguo la Wenye nchi na jina lake halitorudi katika vikao vya uteuzi vya CCM.
Ama kweli Majasusi hawatabiriki, wanabadilika kama Vinyonga. Leo wapo huku, kesho wanahamia kule. Utafiti wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa za Apson kukorofishana na Lowassa ni Fitina za Rostam Aziz ambaye hataki hata kumsikia Apson kuwepo katika timu yao ya kampeni.
Rostam hampendi na anamtuhumu sana Apson kwamba ni Kibaraka wa Serikali.
Hivyo alimtimua katika vikao vya Team Lowassa. Ntaendelea kuwajuza.
Kweli JK kaufanya uraisi uwe urahisi
Mpka hyu naye anajiona anafaa kuongoza nchi
Kwa lipi la maana aliloifanyia nchi mpka sasa
Membe ni janga la kitaifa mapesa ya marehemu Gadafi imemzuzua na kumdangaya kuwa ataingia ikulu kwa njia za fitna na kugharamia watu wamchafue Lowasa.
Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc