Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

rajabs

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
384
73
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takriban wiki sasa. Lengo ni kuwajuza kinachojiri katika mchakato wa CCM wa kumchagua mgombea wake wa Urais.

Jana lile Jasusi na Kachero Mstaafu wa Idara Ya Usalama Wa Taifa, Colonel Apson Mwang'onda limewasili hapa Dodoma. Amefikia Kitori Hotel iliyopo eneo la Iringa Road hapa Dodoma.

"Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakikisha Edward Lowassa kamwe Hachaguliwi kuwa Rais wa nchi hii", nilimnukuu Jasusi huyo akijigamba kwa Mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo.

Inaelekea Jasusi huyu (Apson) amebadili msimamo kwani miezi michache tu iliyopita alikuwa anampigania Lowassa usiku na mchana ili awe Rais wa Awamu ya Tano.

Lakini sasa amemgeuka. Sababu ya kumgeuka inasemekana ni baada ya kunusa harufu ya kubaini kuwa Lowassa siyo chaguo la Wenye nchi na jina lake halitorudi katika vikao vya uteuzi vya CCM.

Ama kweli Majasusi hawatabiriki, wanabadilika kama Vinyonga. Leo wapo huku, kesho wanahamia kule. Utafiti wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa za Apson kukorofishana na Lowassa ni Fitina za Rostam Aziz ambaye hataki hata kumsikia Apson kuwepo katika timu yao ya kampeni.

Rostam hampendi na anamtuhumu sana Apson kwamba ni Kibaraka wa Serikali.

Hivyo alimtimua katika vikao vya Team Lowassa. Ntaendelea kuwajuza.
 
Nahitimisha habari hii kwa kuona kuwa atimaye laana imeanza kuwatafuna na sasa wameanza kunena kila mtu kwa lugha yake kama walivyopoteana wale wajenzi wa mnara wa Babel.
N.B:
Duru zangu nyeti za nyetin zinasema kuwa
1.Rais ni Jaji Ramadhani .
2.Makamu ni Lowasa ( atakuwa amzee wa kufungua majengo na vicoba , pamoja na kulinda muungano).

attachment.php
 
Nadhani kuna ukweli ndani yake kataja mpaka hotel aliyofikia kinachofanya mkatae ni nini ?.
 
Ushauri wa bure Membe hauziki mnajisumbua bure na Rais wenu wa matambiko
 
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takribani wiki sasa, lengo ni kuwajuza kila kinachojiri katika mchakato wa ccm wa kumchagua mgombea wake wa urais.
Jana lile jasusi na kachero mstaafu wa idara ya usalama wa taifa Colonel Aspon Mwang'onda limewasili hapa Dodoma. Amefikia katika kitori Hotel iliyopo eneo la Iringa road hapa Dodoma.

"Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakisha Lowasa kamwe hachauguliwi kuwa rais wan chi hii" nilimnukuu jasusi huyo akijigamba kwa mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo.

Inaelekea jasusi huyo kabadili msimamo wake kwani miezi michache tu iliyopita alikuiwa anampigia kampeni Lowasa usiku na mchana ili awe rais wa awamu ya tano. Sabau ya kumgeuka ni baada ya kunusa harufu kuwa Lowasa siyo chaguo la wenye nchi na jina lake halitarudi katika vikao vya utezi vya ccm.

Ama kweli majasusi hayatabiriki, wanabadilika kama vinyonga leo wapo huku kesho wanahamia kule. Utafiti unaonyesha kuwa sababu kubwa za Aspon kokorofishana na Lowasa ni fitna za Rostam Aziz ambaye hataki hata kumsikia Aspon kuwepo katika timu yao.

Rostam hampendi anatuhumu Asponi Mwang'onda kuwa ni kibaraka wa Serikali. Hivyo alimtimua katika vikao vya vya team Lowasa.


Nitaendelea kuwajuza
 
Nipo...nasubir kwa ham kuona huyu Fisadi anafanya nn mkuu ..usikate tamaa..leta matukio ...
 
Ila mleta mada nimegundua ww ni timu fulani haiwezekani tangu asbh unaongelea kuhusu Lowasa tu......c usubiri vikao vya maamuzi vya ccm viamue then tujue nani kapitishwa na ni nani hajapitishwa
 
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takribani wiki sasa, lengo ni kuwajuza kila kinachojiri katika mchakato wa ccm wa kumchagua mgombea wake wa urais.
Jana lile jasusi na kachero mstaafu wa idara ya usalama wa taifa Colonel Aspon Mwang’onda limewasili hapa Dodoma. Amefikia katika kitori Hotel iliyopo eneo la Iringa road hapa Dodoma.

“Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakisha Lowasa kamwe hachauguliwi kuwa rais wan chi hii” nilimnukuu jasusi huyo akijigamba kwa mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo.

Inaelekea jasusi huyo kabadili msimamo wake kwani miezi michache tu iliyopita alikuiwa anampigia kampeni Lowasa usiku na mchana ili awe rais wa awamu ya tano. Sabau ya kumgeuka ni baada ya kunusa harufu kuwa Lowasa siyo chaguo la wenye nchi na jina lake halitarudi katika vikao vya utezi vya ccm.

Ama kweli majasusi hayatabiriki, wanabadilika kama vinyonga leo wapo huku kesho wanahamia kule. Utafiti unaonyesha kuwa sababu kubwa za Aspon kokorofishana na Lowasa ni fitna za Rostam Aziz ambaye hataki hata kumsikia Aspon kuwepo katika timu yao.

Rostam hampendi anatuhumu Asponi Mwang’onda kuwa ni kibaraka wa Serikali. Hivyo alimtimua katika vikao vya vya team Lowasa.


Nitaendelea kuwajuza

Hahahaha! Kaka umeloba step! Huyo unayemzungumzia sio Apson ni double wake!
 
Back
Top Bottom