Jastini Kalikawe ndio mfalme wa rege Tanzania Hayupo wa kumfikia.

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Laiti Tanzania tungekua na utamaduni wa kuenzi vipaji, Huyu ndugu alistahili tuzo ya ufalme wa mziki wa rege Tanzania.

Tatizo nchi yetu tuzo zipo kwa wanasiasa tu.!
 
naunga mkono hoja.
''usipotumia cheo chako kama dhamana, utasababisha ajali kama ya MV Bukoba''
''panapofuka moshi, ukitaka kuuzima......................''
 
naunga mkono hoja.
''usipotumia cheo chako kama dhamana, utasababisha ajali kama ya MV Bukoba''
''panapofuka moshi, ukitaka kuuzima......................''

Huyu ndugu alikua mtunzi wa Ukweli,nyimbo zake zinaakisi mazingira ya raia wa kawaida.
mv Bukoba, wamachinga, maisha na nyinginezo nyingi.
Mungu marehem huko aliko.!!
 
Huyu ndugu alikua mtunzi wa Ukweli,nyimbo zake zinaakisi mazingira ya raia wa kawaida.
mv Bukoba, wamachinga, maisha na nyinginezo nyingi.
Mungu marehem huko aliko.!!

Mkubwa unazo nyimbo zake? Kama vipi turushie mkuu.
 
Back
Top Bottom