Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

Mkuu wewe sio nobody .... sauti yako inasikika hadi kuzimu kwa Malcom X na Patrice Lumumba (Hawa wote walikuwa wanaharakati maarufu waropokaji bila kujali wanamropokea nani lakini walikosa busara na akili, yaani unwise and stupid na kwa sababu hiyo hawakufanikisha cha maana), na duniani huku hadi kwa Nape Nnauye na Julius Malema! Kimsingi kuleta hapa hii kitu ungependa wote tushangilie ulichokileta kutoka huko the economist. Ukimkuta mzazi wako anatukanwa nyumba ya jirani nawe ukaja nyumbani kuwaeleza wadogo zako matusi anayotukanwa baba yako hiyo nayo ni unwise and stupid!

Regards
Mkuu umemtaja Julius Malema hapo. Mind you sijaona kiongozi wa kisiasa mpinzani aliye revolutionary same time akiwa focused kama huyo jamaa namfatilia kwa umakini. Mimi siyo nabii lakini huyu jamaa anaweza kupata nafasi kubwa sana ya maamuzi ya kisiasa huko South Africa.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Habari,
Leo mapema nilitafuta nakala yangu ya Jarida la The Economist, moja kati ya majarida makubwa kabisa, makongwe na yanayosomwa na wengi ziaidi hapa duniani.

Kama kawaida huwa naenda kuangalia kipengele cha Africa & Middle East. Leo walichokisema kuhusu Tanzania kwenye kichwa cha habari ni kumwita Raisi Magufuli "A Tanzanian despot wannabe"

Ukisoma zaidi wameongelea jinsi anavyowafunga wapinzani na wakafika sehemu wakasema kwamba Mh Tundu Lissu ndiye anamtesa sana Raisi wetu. Wakasema maneno haya kuhusu Lissu "Mr Lissu is back in full cry, with well-aired performances at Western think-tank forums and television abroad"

Lakini katika yote haya, lililolamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.

Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.

Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Wizara ya Mambo ya nje ichukue hatua stahiki kwa haya maneno ambayo Raisi wetu amekashifiwa nayo. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"

Jamani Raisi wetu katukanwa matusi makubwa sana kwasababu binafsi siamini kwamba Raisi wetu ni mpumbavu au mtu asiye na uelewa wowote ule...

Binafsi siyo mshabiki wa Raisi Magufuli lakini haya matusi kwa jarida kubwa kama hili hayajakaa vizuri. Hatua stahiki sichukuliwe na Wizara Husika.

Nawasilisha.

CC: chige, JokaKuu, Nguruvi3, Pascal Mayalla, introvert, Quinine, technically, Consigliere, Wick, Red Giant
Hawajakosea sana kumwita hivyo...jina la mhusika pia mwishoni linasound "FOOL"
 
Baba wa Taifa asingekwepesha ukweli angemuita tu mpumbavu huyo anatuletea nchini mambo ya Nduli Idi Amin.

Hapana, huo ujumbe ni Exclusively kwangu mimi. Na alichokiandika siyo ambacho wewe umekielewa. Huyo Malema ni kupamba bandiko.
 
Kikwetu, mtu akimtusi baba yako na wewe ukarudia maneno yaleyale hata kama ulikuwa unaelezea kilichotokea na wewe unakuwa mkosaji.
 
Hata maneno "despot wannabe" yaliyopo kwenye kichwa cha taarifa hiyo ni matusi pia!!! Hawa wazungu hawana adabu!!!! Uki-"google maana yake" unaweza kutoa machozi. Hili gazeti lipigwe marufuku hapa nchini.
Wapumbavu wengi huwa wanawaza namna hii kwaakili yako mpaka leo unawaza kufungia gazeti ikiwa linapatikana mtandaoni kweli mijitu myesu mko duniani kwa bahati mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mama mmoja tulimzika juzi juzi alikuwa ni mpunga pepo, naye aliwahi kuniambia maneno kama haya yako. Kwasasa nadhani naye yuko kuzimu na wakina Malcom X na Lumumba wanaendelea kunisikiliza tu hapa JF. Nadhani hata wewe siku siyo nyingi unaweza ukajiunga nao bila kufanya cha maana sana hapa duniani.

Regards to your family...
Baada ya kusoma hii sasa nimeelewa kitu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
nimelipenda bure hili jarida kwani limetumia majina halisi ya vitu na watu....
kwamba, spedi ni spedi na si kijiko kikubwa. ama kunya ni kunya na si kujisaidia.

nice!
😂😂😂😂😂😂 hata mm wamenifanya niwapende..nitawafollow kbs hawa
 
Anakuwa kama yule mtoto wa Noah aliyemkuta baba yake kalewa yuko uchi akaenda kuwaambia wenzie huku akichekacheka
Inasemekana huyo mtoto ndiye baba wa kizazi cha Waafrica

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada anazidi kusema kuwa: yupo katika upande wa kumteteah. rais dhidi ya lugha za kejeli na dharau zilizoandikwa katika hilo gazeti. Kwanini tunamuweka katika upande wa gazeti?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom