Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Mzungu mkuu ukishagusa maslahi yake, ukizuia ulaji wake, wizi na unyonyaji wa rasilimali na maliasili zilizopo popote pale duniani, basi lazima wapige kelele, wamezoea vya kunyong sana hawa, kujisifia kutwa ni 1st world kumbe ule uu 1st world wanaupata kwenye nchi kama zetu, walianza na Mugabe hivi hivi, au Qadaffi, na hata Saadam, majambazi kabisa haya..
 
Naona mijitu iliyogizani ikiambiana saa hizi ni mchana wengine wanasema ni usiku bana ila wote hakuna wanachokijua watakapopuliziwa upupu ndio watakapogundua kumbe walifungiwa kwenye chumba na kuzimiwa taa wao wakizani ni usiku wakijiandaa kulala kwa kuamini kutakucha baada ya masaa 12
 
ACACIA Hapo mmechemsha .Mbinu mnazotumia ni za kizamani mno enzi za Nuhu na Yakobo.Magufuli hamtamuweza .Ana watu wengi wanamuunga mkono.
 
Rais Magufuli pamoja na hizi hujuma za vyombo vya habari vya nje hazitafanikiwa kwasasa dunia imebadilika dunia ya sasa haitawaliwi na hao Mafisadi wa familia ya Rothschild wanaomiliki gazeti hili la Economist. Msimamo wa Mheshimiwa Rais Magufuli katika kusimamia ujenzi wa Tanzania katika uchumi imara imekuwa ndio kero kubwa kwa hawa mabwanyenye cha msingi ni watanzania wote kwa maslahi ya taifa kumuunga mkono huyu kiongozi jasiri.
 
Kwa vyovyote yote majibu, yawezekana wana haraka sana. Nadhani hata hili la maandamano laweza lisiwe jambo zuri kwao ukizingatia uwekezaji walionao tanzania
 
Rais Magufuli pamoja na hizi hujuma za vyombo vya habari vya nje hazitafanikiwa kwasasa dunia imebadilika dunia ya sasa haitawaliwi na hao Mafisadi wa familia ya Rothschild wanaomiliki gazeti hili la Economist. Msimamo wa Mheshimiwa Rais Magufuli katika kusimamia ujenzi wa Tanzania katika uchumi imara imekuwa ndio kero kubwa kwa hawa mabwanyenye cha msingi ni watanzania wote kwa maslahi ya taifa kumuunga mkono huyu kiongozi jasiri.
Wazo kama la Musiba hivi!!!
 
Paskali, lazima wasomaji wenzangu tuache papala! Mpangilio wa jarida lazima tuufahamu. Huwa kuna taarifa rasmi za kiuchumi, zinazotokana na uchunguzi wa jarida. Pia kuna taarifa zinazoandikwa na waandishi binafsi kwa mtazamo wao na maomni yao, yaani columnist. Taarifa hii ya Magufuli siyo ya Jarida ni ya columnist. Unaweza ukampuuza tu!

Ukisoma taarifa hii kwa ufahamu, utagundua mwandishi anajaribu kufaidika na uzembe wa wasomaji. Kuna wasomaji wazembe kama unavyoona meseji au maoni ya wasomaji wa JF, wanaoona nafuu kwa kusaidiwa kueleza ubaya wa rais! Taarifa kama hizi huandikwa na watanzania na kuzitoa kwenye majarida kama haya.

Ukiangalia kichwa cha habari kinamzungumzia rais Magufuli na uchumi wa TZ. Lakini ukiangalia baadhi ya mambo mabaya yanayoandikwa ndani ya taarifa hii ni yale ya zamani yasiyomuhusu Magufuli. Lakini kwa msomaji mzembe mwenye kupenda kusikia ubaya wa magufuli, hataweza kuona mchezo na upuuzi wa mwandishi.

Hili ni jarida la uchumi halistahili kupima ubora wa mipango ya serikali kwa kuangalia investors walioingia nchini au walioondoka bila kusema faida gani ilipatikana kwa nchi. Investors ktk nchi hizi ni wale wanaokuja kuchota na mara zote ukiwadhibiti wanaondoka. Eti hilo nalo ndo jambo la kuandikwa na kutumwa the economist. Binafsi naona ni juhudi inayoendelea ili kiongozi atishike na alegeze baadhi ya mambo ya kipuuzi yaliyofanyika miaka ya nyuma yaendelee.

Wale munaoshabikia, nasikitika kuwaambia Ulaya au Amerika hakuna mjomba wa kukupa maendeleo, eti leo hii anasikitika kwamba unakosa njia safi ya kuendelea. Ukikenua meno kwamba umetetewa, baadaye ni mtego wa kukulawiti.

Brother, thanks for the critical analysis. You are so few who read the discourse between, under and above the line with open mind and grasp all concepts.

You are so right on the writer of the article which published in the economist periodical. The article is based on the author's opinion. I'm also worried if any referee was edited the article. In short wewe are having a committed leader who protects the national interest. It's not uncommon to West to start a smear campaign to such leader on the issues of human rights. To them committed leaders are threat. Think on Gadaff and others you will understand what I'm trying to stress in here.

Yaani katika mataifa karibu 200 duniani, hao Wazungu wamechagua kumchukia kijana wa Chattle tu? Some of you are delusional... Yaani mnafikiri Tanzania inapiga hatua kuliko nchi nyingine zote duniani? Huyo Rais wenu anawadanganya. Watu walijenga flyovers toka miaka ya 1800 leo wakuchukie wee unayejenga flyover ya kwanza 2018? Watu wanakwenda kwenye mwezi na sayari nyingine, wachukie Tanzania kujenga barabara ya lami na flyover? Unaota mchana na inaoneka umezaliwa Tanzania, kukulia Tanzania, na utafia Tanzania. Hauna cha kulinganisha. Hakuna nchi nyingine unayoijua.

Watu wa West wakiona a committed leader na anajitambua kwa ulinzi wa rasilimari na maslahi ya NCHI. Kitu cha kwanza ni kusingiziwa uvunjaji wa haki za binadamu. Hawafura hata punje tunapokuja na evidence za jinsi tunavyoibiwa. Wenyewe wanafurahia SANA aina ya kiongozi asiyejijua, anaachia rushwa, utulivu wa amani tete, n.k. kwao hayo MAMBO ni mtaji kwao. Hawataki radical changes ambazo zinafanywa kwa kulinda maslahi yetu.
SASA kwa taarifa yako, kuweka ukuta wa Mererani viwanda vya kukata tanzanite India vimefungwa. Pia Ulaya na marekani vito vyake vimepanda bei mno.

Vita ya uchumi ni mbaya. Tutegemee mengi SANA. Lkn kikubwa cha kufanya ni kumuunga mkono rais wetu.
 
Kwa waliobahatika kupata 'formal education' na walisoma somo la historia vizuri watakuwa wanajua hulka ya wazungu ilivyo, watajua hawa watu ni wa aina gani kwani historia ni mwalimu mzuri, mzungu yuko busy kumpinga magufuli basi fahamu mzungu hafaidiki na utawala wa magufuli, mzungu anakusifia sana basi ujue anafaida kubwa na wewe! Hawa watu hawatupendi sisi watu weusi hata kwao watu weusi wana hali ngumu sana sembuse sisi tulioko africa?
Mbona wakimsifia huwa hamsemi?!

Mara ngapi wamemsifia,au walipokua wakimsifia walikua wakifaidika na Utawala wake?!

Kiufupi ni kwamba hatuwezi kushindana na wazungu hata siku moja wakituamulia hasa kwa nchi changa kama Tanzania,Uliza Venezuela na Iran Zina mafuta lakini ni maskini wa kutupwa (had wananchi wa Iran waliandamana kupinga kupanda kwa mfumuko wa Bei hadi kufikia 60%) kutokana na mzungu sembuse Tanzania ambayo Hadi watu kufanyiwa tohara ni kwa msaada wa watu wa Marekani!!
 
Kujenga miradi mikubwa, kuzuia ujangili wa Tembo na madawa ya kulevya mlifikiri wataandika mazuri? Huyo ndo mzungu mnaemwona wa maana.
Lakini juzi waziri wako wa fedha kaenda kwa haohao wazungu unawaona sio wa maana kuomba fedha za kuinua uchumi
Guys, lets be honest here na to use some common sense.....Hili Jarida la The Economist ni la uchochezi as always, Usikute linatumiwa na watu kuichafua Tanzania tu, LAZIMA tuwe makini.
Liichafue Tanzania kwa kipi hasa,wakati mpk neti za malaria wanatoa wao bure kama misaada
Mzungu mkuu ukishagusa maslahi yake, ukizuia ulaji wake, wizi na unyonyaji wa rasilimali na maliasili zilizopo popote pale duniani, basi lazima wapige kelele, wamezoea vya kunyong sana hawa, kujisifia kutwa ni 1st world kumbe ule uu 1st world wanaupata kwenye nchi kama zetu, walianza na Mugabe hivi hivi, au Qadaffi, na hata Saadam, majambazi kabisa haya..
Mbona wakati anasifiwa na akina Forbes na wengineo mlikua hamsemi?!
Kwani hayo yaliyosemwa ni UONGO?!,
Je watu hawauawi?!
Hawafungwi?!
Demokrasia haijakandamizwa?!
Mikutano ya siasa haijazuiwa?!
Uchumi haujaporomoka?!

Hao wazungu wakiamua kumyoosha wanamyoosha vizuri tena kama ruler hawana hata haja ya kupiga kelele sijui,Uliza Venezuela na Iran watakueleza vizuri
 
Brother, thanks for the critical analysis. You are so few who read the discourse between, under and above the line with open mind and grasp all concepts.

You are so right on the writer of the article which published in the economist periodical. The article is based on the author's opinion. I'm also worried if any referee was edited the article. In short wewe are having a committed leader who protects the national interest. It's not uncommon to West to start a smear campaign to such leader on the issues of human rights. To them committed leaders are threat. Think on Gadaff and others you will understand what I'm trying to stress in here.

Watu wa West wakiona a committed leader na anajitambua kwa ulinzi wa rasilimari na maslahi ya NCHI. Kitu cha kwanza ni kusingiziwa uvunjaji wa haki za binadamu. Hawafura hata punje tunapokuja na evidence za jinsi tunavyoibiwa. Wenyewe wanafurahia SANA aina ya kiongozi asiyejijua, anaachia rushwa, utulivu wa amani tete, n.k. kwao hayo MAMBO ni mtaji kwao. Hawataki radical changes ambazo zinafanywa kwa kulinda maslahi yetu.
SASA kwa taarifa yako, kuweka ukuta wa Mererani viwanda vya kukata tanzanite India vimefungwa. Pia Ulaya na marekani vito vyake vimepanda bei mno.

Vita ya uchumi ni mbaya. Tutegemee mengi SANA. Lkn kikubwa cha kufanya ni kumuunga mkono rais wetu.
Eti "anasingiziwa". Wewe akili yako umeificha wapi? Huoni watu wanatekwa? Huoni wapinzani wanafungwa? Huoni mauaji? Huoni vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa? Haya yana uhusiano gani na Mererani na India? Mungu amekupa akili, itumie. Usishabikie siasa kama vile unavyoshabikia Simba/Yanga. Hata ikifungwa bado tu utabisha kuwa ilicheza vizuri.
 
Back
Top Bottom