Jarida la Inside the Nation lamtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi

Mama ana meremeta na kuimeremetisha Tanzania, Jarida la The Economist ndio wa kwanza kulianzisha

P
Nani aliifunga nchi?
 
Mkuu Babati , hili sio swali valid!. Wafu waachwe wapumzike kwa amani.
P
Mkuu kwa aina ya watu waliopo Tz kupata maendeleo ni ndoto, akija mwingine kesho akawa Rais hata kama ni kichaa watu watamshangilia sn, huyu mama amefungua nchi akiwa wapi au kule kusafiri kila mara? vipi mfumoko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha ndiyo kufungua nchi?
 
Hili ndio swali gani?. Hili sio swali ni jibu tuu!. Uliza swali au maswali, sio unauliza jibu!. Hebu mwacheni Baba wa watu apumzike kwa amani huko aliko!.
P
Mfumoko wa bei na kupata kwa gharama za maisha ndiyo anafungua nchi? marehemu alikuwa na ukatili mbaya lakini aliweza sn kudhibiti mfumuko wa bei hakucheka na wafanya biashara
 
Mkuu kwa aina ya watu waliopo Tz kupata maendeleo ni ndoto, akija mwingine kesho akawa Rais hata kama ni kichaa watu watamshangilia sn, huyu mama amefungua nchi akiwa wapi au kule kusafiri kila mara? vipi mfumoko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha ndiyo kufungua nchi?
Yes, nchi imefunguliwa, dola zinatiririka Tanzania, and soon zitaingia kwenye mzunguko, ila pia, we have to take and swallow the bitter with the sweet, hakuna kitu cha bure, ni nipe, nikupe!. Ukija kupokea, ujue pia na kutoa!. Ili ule, ni lazima ukubali kuliwa!. Watu tumehamanika sana na kupokea midola, na kula na mingine kuibunya, lakini utakapofika wa kutoa, na kuliwa..., tusionane wabaya na kuanza kutafuta mchawi!.

Yaani tumefika mahali tunashangilia mikopo serious? bila kufumua huu mfumo ovu hatuwezi kwenda mbele
 
Back
Top Bottom