Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Kuwa Confidant wa mtu hakuna tatizo

Tatizo ni kama kinachofanywa hakina maslahi ya nchi na wananchi no matter who is behind who...
 
Nyerere hayupo,Magufuli hayupo ,mkapa hayupo ,Mwinyi amezeeka ,bila shaka mshauri wake kwa upande wa Marais lazima atakuwa kikwete
Japo Jiwe lilikuwa halishauriki, lilidai 'wanawashwa washwa' akina JK.
 
Jpm alimmaindi mmojawapo kwa kumchafulia nyumba yake kwa drugs. Mana yeye alichafua kipindi chake Tena akataka kumchafulia. Si mnakumbuka kimbunga jobo Yale madawa yako wapi ama wale waliokamatwa jamani hata kesi haisikiki Tena.
 
IMG_20210906_135621.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwa hiyo ukiwa Rais uanze kuwatukana watangulizi wako...ni malezi, Samia hajalelewa hivyo, atakuwa karibu nae na itapobidi ataomba ushauri, sio kunifanya anajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom