Jaribu tu kujiuliza w/end hii haka kajiswali . . . . . . . . . !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaribu tu kujiuliza w/end hii haka kajiswali . . . . . . . . . !!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Sep 14, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja anajua namna vile ambavyo zile hadithi za hovyo za kudai kuwa mtu mweusi eti amelaaniwa na hana akili (inakera sana hii) zilivyoshamiri na kuathiri makuzi yetu,ndo maana ukimkuta mwanamke wa umri wowote ule ukamuuliza ni kwanini anaenda saluni kuzibadili nywele zake,atakujibu ni urembo,sijui ni nani alimwambia kuwa na nywele za asili za Kiafrika sio urembo.Tuachane na hayo.......Hivi ukiambiwa lugha ya "taifa" kule mbinguni ni kinyiramba,utajisikiaje?Je unaweza kudhani ni kumdhalilisha Mungu au ni kawaida?Hebu jiulize tu kwani nini bana . . . . .!!
   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ni urembo tuu kaka. african hair is black and straight. wazungu can have black, blond, brunette, red, bleach, any random color; straight, curly, any random texture etc. thats all there is to it. sometimes i wish i could dye my hair but i'm male so siwezi
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Urembo?Give me a break . . . . . .Nani amekuambia hayo?
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  African hair is not straight rafiki. It is curled in a delicate way, spiral kinda thing. I loove afro hair kiukweli.
  Baadhi ya wanawake wanalazimika kufanya manjonjo manake maintainance ya nywele za kibantu ni ghali sana.

  Kuna movie ya whoopi goldberg niliangaliaga inaitwa 'Jesus was a black man'. Nzuri sana and very logical
   
 5. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  oh okay. i usually have short hair and huwa najivunga kucheki nywele za wadada ili nionekane na navutiwa nazo, so i'll take ur word o it. i just wish i could dye it without causing the sky to fall on me
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  nadhani ni kumdhalilisha mungu........bora ingekua kihaya......
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Unatania eeeeh!
   
 8. s

  souvenir Senior Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natamani kuona siku moja unakuja na thread ya kumsifia mwanamke
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  sitanii mkuu......kihaya ndio kila kitu bana
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Even me, i cant guarantee you my reaction seeing a black man with blond hair.
  hujawahi kuwa karibu na mwanamke mwenye natural hair? Kwa nini uhitaji kuvunga kuzipenda? Unapendelea mwanamke awe na nywele za aina gani?
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kwani hii inawaponda wanawake?
   
 12. s

  souvenir Senior Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijasema hivyo,nimesema hicho ulichonukuu hap juu
   
 13. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hp mkuu umenena, kuwa za kiafrika sio sbb ya kufanya zisipakwe mafuta zing'ae, napingana sana na wanaotukuza minywele ya kidhungu, kuna wadada wanazisuka za kiafrika zinakuwa ndefu vizuri tu
   
 14. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wanaume ndio chanzo cha wanawake wengi kujibadili.....
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Ngoja Asprin aje aone hii post yako,atakuita mvulana!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,489
  Trophy Points: 280
  Umekosea dogo, Mtambuzi hawezi kuwa mvulana ila anazeeka vibaya...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...