Jaribu na wewe kwa mpenzi wako

umeona eeeh! kwanza ukiachana na hili. kwanini umjaribu mpenzi wako?

Hakuna kitu nachukia zaidi kama hizi tabia za kujaribiana jaribiana, kuna mijitu haina hata aibu kuwajaribu wapenzi wao. Utakuta mtu anamtuma rafiki yake aje ajipendekeze kwako ili aone kama utamtongoza au la, halafu badae ukifanya kweli ugomvi mkubwa unaanza, sasa najiuliza ulikuwa unajaribu ili iweje ?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom