Jaribu kufanya hivi kwenye camera ya simu yako

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,207
1,755
Piga picha yoyote wakati size ya picha kwenye camera umeweka 5mp n.k mbali na Ile size iliyoko kwenye camera by default Kisha compare na picha uliyopiga ikiwa na default size.

Default size inaweza kuwa 12, 13, 16 mp n.k inategemea na camera ya simu yako.

Alafu uniambie nini kimetokea.
NB
Usisahau kucheck ratio ya image iwe sawa kwa Kila MP tofauti yaani Kama ni 9mp Ina ratio ya 16:9 Basi hata 5mp iwe na ratio ya 16:9 sio tofauti.
 
Back
Top Bottom