Jaribio la Tatu: Galana Kulalu Food Securty Project

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,212
6,972
Jamaa walijaribu mmara ya kwanza, wakula loss kubwa pesa za kodi yetu, wakatafuta muIsraeli aje ajaribu akashindwa, project ikachukuliwa na wizara ya maji ndani ya departpment ya unyunyizaji (National Irrigation Authority) sasa wanasema kwa kila ekari waligarimika takriban Ksh 45,000 na mavuno yakaleta 78,400 per acre kwahivyo faida waliopata ni Ksh33,400 per acre.

1594653038599.png
Ndani ya hio taarifa wanasema Pre-feasibility Study iliofanywa 2013 (wakti wa kampeni ya Jubelee, Kenyatta akitafuta kura za urais) ilitaja kwamba hii project itaweza kupata shamba la hekari 1.02 Million ambalo litawezwa kupandwa, kukijengwa bwawa la kuhifadhi 2 Billion cubic meters, lakini utafiti uliofanywa na wasomi(scholars) wa vyuo vikuu vya Kenya umesababisha serekali kushusha hilo lengo lake la 1.02 Million acres hadi 215,000 acres manake mto unaosambaza maji hauna uwezo wa ku supply hayo maji ya bwawa la 2 Billion cubic meters, mto unaweza kujaza 600 Million cubic meters kwa mwaka pekee.

Lengo kuu ilikua ni serekali itapanda na kuzalisha kwa eneo la ekari 10,000 na ionyeshe kwamba inaweza fanyika (proof of concept) alafu watafute mwekezaji wa kibinafsi ambayeatapokezwa apande kwa hizo ekari 1.02Million ambayo sasa imepunguzwa hadi ekari 215,000.

Hii itakua ni mara ya kwanza hio model project ya ekari ya 10,000 imezalisha mazao yanayotarajiwa ili ku prove kwamba inaweza fanyika on a bigger scale na wanunuzi wa bidhaa pia wako kwa wingi.

Tazama Video



3FAyh5lh.jpg

NZsJy5Kh.jpg

fxgotT0h.jpg

cdcvGzzh.jpg

6Q4PnCAh.jpg
 
Huu mradi nina uhakika wakikomaa nawo vizuri tutafankisha food security, wataalam wetu wapambane taratibu tutafika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom