Jaribio la kuzima vita dhidi ya wizi wa madini yetu!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Muhudumu ongeza galasi!

Kwa nini jaribio la kumuua Tundu lissu ambaye ni mkosoaji mkuu wa serikali kwa miaka yote hata kabla ya Magufuli?

Kwa nini jaribio hili linakuja muda mfupu baada ya Rais kupelekewa na kupokea ripoti ya wizi wa maluasili yetu ya madini ya almasi?

Kwa nini jaribio hili linakuja wakati huu ambapo waziri na serikali inajiaandaa kupoke ripoti ya wizi wa madini ya amasi ambapo waziri mhusika anaamua kuchukua hatua za kuwashughukia wahusika wa wizi wa madini yetu ya almasi na Tanzanite?

Kwa nini jaribio hili linapata publicity ya vyombo vya magharibi au nje kama DW na aljazeera ?

Kwa nini jaribio la kumuua lissu linapata publicity ya ubalozi wa USA na EU ndani ya muda mfupi kulinganisha na matukio mengine ya aina hii?
 
Mnatapatapa....mlidhani mmemuuwa lakini Mungu kaamua kuwaumbua
 
Mtahangaika sana lakini Mungu hua hajaribiwi, Hamtaweza kufunika chochote.

Nape alisema kua watu ni wale wale,gari ile ile, idadi ni ile ile. Andeleeni na ulaghai wenu lakini Ulimwengu unajua kila kitu
 
..labda wanaogopa TL atamtaja kigogo mwana ccm aliyepewa almasi ya mabilioni.

..kama unataka kuhusisha shambulio la TL na ripoti za almasi na tanzanite basi hiyo hapo juu ndiyo itakuwa sababu.
 
Muhudumu ongeza galasi!

Kwa nini jaribio la kumuua Tundu lissu ambaye ni mkosoaji mkuu wa serikali kwa miaka yote hata kabla ya Magufuli?

Kwa nini jaribio hili linakuja muda mfupu baada ya Rais kupelekewa na kupokea ripoti ya wizi wa maluasili yetu ya madini ya almasi?

Kwa nini jaribio hili linakuja wakati huu ambapo waziri na serikali inajiaandaa kupoke ripoti ya wizi wa madini ya amasi ambapo waziri mhusika anaamua kuchukua hatua za kuwashughukia wahusika wa wizi wa madini yetu ya almasi na Tanzanite?

Kwa nini jaribio hili linapata publicity ya vyombo vya magharibi au nje kama DW na aljazeera ?

Kwa nini jaribio la kumuua lissu linapata publicity ya ubalozi wa USA na EU ndani ya muda mfupi kulinganisha na matukio mengine ya aina hii?
Mtakata sana mauno humu mkiwa mnajitetea mwishoni mtazalishwa
 
Sijakuelewa labda ngoja nimalizie "jack daniel" yangu nitakuelewa...
 
Back
Top Bottom