Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,942
Okay kwa nini babu yako hakuongoza nchiNyerere kisha taka kupinduliwa mara nyingi tu.
Ni watu walikuwa hawampendi, kadhulumu mali za watu, kuanzia majumba, mashamba, biashara. Akawa hajui kuongoza nchi, aliongoza kidikteta, atakacho yeye ndio hicho hicho, watu wakawa masikini wa kutupwa, kila mtu mnyonge na kadhoofika, kasoro watu wa mduara wake tu.
Kuna kupendwa hapo? Watu waliompenda ni wa kanisa katoliki tu kwani wao ndio aliwatumikia kwanza kuliko nchi, na hilo kalisema mwenyewe si maneno yangu hayo, anaebisha namwekea nukuu. Anza.