Jaribio la kuiba dhahabu katika mgodi wa Geita (GGM) lazimwa

Mkuu wee acha tu, hata mimi sielewi mwizi ni nani hapa, maana kama mtu ana uwezo wa kuruka na ndege kuanzia mgodini hadi huko aendako na hakuna ukaguzi wowote mahali popote hii haingii akilini kabisa. Juzi nilikua nimetoka safari na viroba vinne vya mkaa na kitanda kimoja nilipofika kibiti nikasimiamamishwa na kuanza kukaguliwa eti nilipie ushuru....pumbafu kabisa, wachukue tu kwanza tuwaite Majasiri na mashujaa wa taifa hili hao waliojaribu. Halafu nione kijitu kinasimama kwenye Luninga na kujifanya kuua majambazi.

Mpwa kumbe huwa unaenda huko.
Achana na Kibiti, jamaa wa pale Vikindu ndo mwisho.
Kuna siku nikiwa nimejaza mikaa juu ya carrier nikawa nawatembelea na 100kph kila kizuizi, kufika vikindu jamaa wakaanza kunifukuza na ki-SANLG chao...wapi baba walipoteza mafuta yao tu, Nissan Patrol na kipikipiki cha mchina wapi na wapi!
 
Hao sio majambazi ni watanganyika wenye uchungu rasilimali zao, mkiwaita Majambazi mnakosea na hamna uzalendo na Mali zetu.

Wanaotakiwa kuitwa Majambazi hatuwaiti ambao ndio wanaowasaidia Wageni kuiba Rasilimali zetu. Nataka waulipue mgodi wote. Hongereni wazalendo siku nyingine mnahakikisha kuwa ndege hairuki ukiruka shusha chini
 
Nipo Geita................Ingawa sishabikii wizi/ujambazi lakini hali ya maisha Geita inasikitisha sana.

Uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Geita na wanachi wa maeneo haya ni wa kusikitisha.Hakuna tofauti na raia wa Niger delta alikokuwa anawapigania mwanaharakati ken Saro wiwa enzi za Utawala wa Sani Abacha

Policy ya serikali yetu kuwalinda wazawa ni ya hovyo.Kuna haja ya kuangalia makubaliano ya mkataba kati ya serikali na wawekezaji kwenye migodi hii kwa kuangalia kwa maslahi mapana ya watanzania na maslahi ya taifa kwa ujumla.

Hali iliyopo inatia simanzi na ni majonzi kwa wanageita
 
Lakini si umesikia kuwa kiongozi wao alikuwa Msomali??? Sasa sijui una uhakika gani kuwa ni watanzania???

Anyway, nafikiri mbaya wetu Bongo ni CCM na wala siyo kaburu kama tunavyotaka kuaminishwa na baadhi ya watu humu.
 
Tuna wanasheria wa kufanya hayo???!!!

Nipo Geita................Ingawa sishabikii wizi/ujambazi lakini hali ya maisha Geita inasikitisha sana.

Uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Geita na wanachi wa maeneo haya ni wa kusikitisha.Hakuna tofauti na raia wa Niger delta alikokuwa anawapigania mwanaharakati ken Saro wiwa enzi za Utawala wa Sani Abacha

Policy ya serikali yetu kuwalinda wazawa ni ya hovyo.Kuna haja ya kuangalia makubaliano ya mkataba kati ya serikali na wawekezaji kwenye migodi hii kwa kuangalia kwa maslahi mapana ya watanzania na maslahi ya taifa kwa ujumla.

Hali iliyopo inatia simanzi na ni majonzi kwa wanageita
 
Nimeongea na jamaa yangu aliyekuwepo eneo la tukio amesema mmoja wa watu waliotaka kuchukua dhahabu ameuawa na walinzi wa mgodi. Katika mapambano hayo Kaburu mmoja (Sniper) pia amepigwa risasi na kujeruiwa vibaya.

Angekufa kabisa shwain.
 
Kwa mujibu wa post nilizosoma hapa,wachangiaj weng(hasa walojinasibisha na utanzania)walitaka gold ibebwe na majambaz,hili ni changam0to kwa serikali,watanzania wengi hatuwapend wawekezaj na uwekezaj,wadau boreshen sera za uwekezaji
 
Nipo Geita................Ingawa sishabikii wizi/ujambazi lakini hali ya maisha Geita inasikitisha sana.

Uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Geita na wanachi wa maeneo haya ni wa kusikitisha.Hakuna tofauti na raia wa Niger delta alikokuwa anawapigania mwanaharakati ken Saro wiwa enzi za Utawala wa Sani Abacha

Policy ya serikali yetu kuwalinda wazawa ni ya hovyo.Kuna haja ya kuangalia makubaliano ya mkataba kati ya serikali na wawekezaji kwenye migodi hii kwa kuangalia kwa maslahi mapana ya watanzania na maslahi ya taifa kwa ujumla.

Hali iliyopo inatia simanzi na ni majonzi kwa wanageita

uwekezaj haukubalik tanzania,hasa kwenye madin na utalii
 
Thamani ya mzigo..34*24*1000/31.1035= 26234.99oz* 1611.80$/oz= 42,285,556.29$, Madafu= 42,285,556.29$*1,594.63 TZS/$= 67,429,816,620 TZS = 67.43 BILLIONS(TZS)
 
Hii inatisha!
hivi serkali haiwezi kuitaifisha na kumiliki migodi yote inayomilikiwa na wageni?
 
Kwa mujibu wa post nilizosoma hapa,wachangiaj weng(hasa walojinasibisha na utanzania)walitaka gold ibebwe na majambaz,hili ni changam0to kwa serikali,watanzania wengi hatuwapend wawekezaj na uwekezaj,wadau boreshen sera za uwekezaji

Angalau wangechukua tungeambulia hata ofa za bia kwenye mabaa kuliko makaburu wanaohama nayo moja kwa moja
 
Tusishabikie ujambazi kwa visingizio kuwa wananchi wa kawaida hawanufaiki na madini yanayochimbwa.Huwezi kutatua tatizo halali kwa njia haramu.
 
Nipo Geita................Ingawa sishabikii wizi/ujambazi lakini hali ya maisha Geita inasikitisha sana.

Uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Geita na wanachi wa maeneo haya ni wa kusikitisha.Hakuna tofauti na raia wa Niger delta alikokuwa anawapigania mwanaharakati ken Saro wiwa enzi za Utawala wa Sani Abacha

Policy ya serikali yetu kuwalinda wazawa ni ya hovyo.Kuna haja ya kuangalia makubaliano ya mkataba kati ya serikali na wawekezaji kwenye migodi hii kwa kuangalia kwa maslahi mapana ya watanzania na maslahi ya taifa kwa ujumla.

Hali iliyopo inatia simanzi na ni majonzi kwa wanageita

Mkuu Ben,
Nakubaliana na wewe kwa 100%, lakini tatizo la wana geita ni kuendelea kuikumbatia CCM wakati yenyewe haiwajali wakati wa raha wala shida kwa kweli maisha ya wana geita yanasikitisha na kukatisha tamaa kabisaa, Hata hivyo sisi wanaharakati tusiwatupe mkono hata kama mbunge wao ni mmbumbu tutafute namna ya kuwasaidia ili wazifahamu haki zao ninauhakika kabisaa huko geita kuna wanaharakati hata kama ni wachache tuwawezeshe na ku wa support ili waweze kujipigania nasikia wenzao wa nyamongo japo kwa kiasi kidogo wameweza kupigania haki zao na wanachopata si haba ukilinganisha na walipo toka wakati nyamongo ni mgodi mdogo sana ukiulinganisha na geita
 
Back
Top Bottom