Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

KUNA KAULI HZ ZINAMNYIMA RAHA BASHITE

1. WALIONISHAMBULIA NAWAFAHAMU
2. TULIJUA MUDA MREFU TUNAFUATILIWA

MTU ANAYEJUA MUDA MREFU ANAFUATLIWA LAZMA ACHUKUE HATUA

SASA HAIJULIKAN LISU NA DEREVA WALCHUKUA HATUA GAN INGAWA HATUA MOJAWAPO WALIYOICHUKUA NI KUHAKIKISHA RISAS HAZIFIK KCHWANI..

HAYO MENGNE YASYOJULIKANA NDYO YANAWANYMA WATU USNGz
Wana wasiwasi mkuu inawezekana tundu lissu aliweka kamera kioo cha nyuma...siku iyo itakuwa kiama cha ccn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wanahaha kama mtu anayejiita akili kubwaz anakomaa kuuliza shati jeupe lenye damu dereva amelitoa wapi na wakati Lisu alivaa la kijani! Hata akiambiwa limetoka wapi itamsaidia nini sijui
 
Wewe ni mtu wa hovyo sana kama unafikiri kuambiwa ukweli ni kujikweza!
Mkiandika ujinga ujinga kama watu wasio na Elimu mnataka tusiwaambie ukweli ???
Hovyo kabisa!
Usipanic mkuu!
Bichwa komwe amekuja na vasheni ya kuwashwawashwa, mwendelezo ule ule wa akili za kipumbavu.
 
Pia someni hii...

An assembly adaptable for mounting on a vehicle for viewing an object located behind a tinted window, comprising:
  • a light source for emitting full-spectrum light, with the light source being adapted for mounting on a vehicle;
  • a video camera including a filter for passing only the near infrared light, for receiving near infrared light reflected from an object;
  • the light source being separate from the video camera; and a video monitor for receiving a signal stream transmitted by the video camera, and for displaying an image of the object derivable from the signal stream.
Kusoma kuna faida yake...nakumbuka ofisa moja alivyobatilisha amri ya polisi wa Dar kupiga marufuku matumizi ya tinted windows kwenye magari. Wakati huo nilijiuliza sana malengo...

Ambacho hakujua ni kwamba utaalamu upo wa kutambua kilichomo ndani ya vyombo hivyo. Polisi wetu wangekuwa na weledi, hawa magaidi wauaji wangekamatwa kilaini tu.

Hata vifaa vyote ndani ya nyumba ya Mh. Tundu Lissu vikikamatwa na kuharibiwa ni kazi bure. Data zote zilizo relevant tayari ziko salama ardhini, majini na angani. Video na sound ziko salama.

Wasiojulikana na wasioonekana, teknolojia imewaacha kwenye mataa...!
Samahani mkuu,hapo sijaelewa vizur
 
And it remains to be seen by the majority as well, chadema mrekebishe kwanza nyumba yenu ndio wengi tuweze kuwaamini, chadema Hamna msimamo, cdm Hamna demokrasia, cdm kuna ufisadi na favouritism, chadema you's a puppet, mshakuwa affiliated na vyama vya west vinasupport ushoga etc na you'll have to return the favour, chadema you've got a lot of shit to make right ili muaminiwe.
Nyie mtaendelea kulalamika pasipo kujichunguza ndani mwenu na kujisahihisha kama ccm wanavyofanya sasa, mtabaki kuwa wasindikizaji hadi kifo chenu.

Hatuwezi kufanya experiment ya kukabidhi uongozi wa nchi kwa watu hawajielewi.
Sina chama wewe!
 
ninachokipenda wananchi wameshajuwa wauaji ni kina nani mana walijiandaa kupoteza uhai wa Lissu lakini Mungu kawanyoosha hasa wamekonda nyuso usiku mmoja baba na mwanawe wamekuwa weusi kwa kukosa oxygen hawapumui kwa hofu na vile wamelaaniwa na wanachi kwa ujumla na dunia basi hila zao zimeingia matope
Unajiropokea tu

nYaNi wA KaLe
 
Back
Top Bottom