Jaqcline Wolper amuonyesha nyeti msanii maarufu wa South Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaqcline Wolper amuonyesha nyeti msanii maarufu wa South Africa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by C.T.U, Mar 12, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ‘Amber Rose wa Bongo', juzikati alinaswa akichunguliwa nyeti zake na msanii kutoka Afrika Kusini, Cleopas Monyepao ‘DJ Cleo'.

  Tukio hilo lilitokea Machi 9, mwaka huu maeneo ya Mlimani City jijini Dar, ambapo wawili hao walikutana kwa ajili ya kupata chakula cha mchana pamoja na wenzao.

  Wakiwa maeneo hayo, Wolper alionekana kuwa ‘close' sana na mkali huyo wa wimbo wa Facebook na walipokuwa eneo la Samaki Samaki, mara kwa mara wawili hao walionekana kuzidisha ukaribu.

  Aidha, Wolper aliposimama, kiblauzi chake alichokuwa amekivaa kilipanda juu na kukiacha wazi kitovu chake alichokiremba vilivyo, kitendo kilichomchanganya DJ Cleo.

  Katika kuonesha kudatishwa na eneo hilo nyeti la Wolper, msanii huyo alionekana kukodolea macho kwa sekunde kadhaa kisha akiinama na kukipandisha juu kiblauzi alichovaa staa huyo wa filamu.

  Tukio hilo liliwaacha midomo wazi baadhi ya watu waliokuwa wakiwapiga chabo huku wakihoji sababu za Wolper kuchekelea kufanyiwa kitendo hicho.

  Hata hivyo, baada ya muda mastaa hao wakiwa wameongozana na wenzao waliondoka eneo hilo na kuacha minong'ono kwamba huenda wawili hao wamezimikiana.

  Chanzo: Global Publishers
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kikowapi hicho alichokiva mpaka akakipandisha tukioneee?
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,151
  Likes Received: 2,195
  Trophy Points: 280
  Weka picha.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  He don't wanna her number,he can socialise on a facebook,dabliyu dabliyu dabliyu dot utiniwena dot com
   
 5. w

  wasipemba Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  biashara matangazo:lock1:
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  umaku na udaku ni mapacha.
   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kazi umalaya tu na kujirahisi...yaani hii midada hewa tu!!
   
 8. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Kumbe alipokua akisimama ndo kiblauzi kikapanda!!!Mshkaji naww umekuza story as if magazeti ya rangi rangi bwana!!au ndo source nn?
   
 9. m

  mANg'HOnDi Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Searching 0%
   
 10. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  story imekaa kishambeeenga kwelikweli na kunogeshewa kwa ndimu na pilipili:cool2:
   
 11. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dah ndugu yangu unafaha kuajiliwa na shigongo maana uko full data
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Kapata kwa Shigongo!

  Inaonekana waandishi wa Shigongo na Celebirities wa Bongo ni kama nzi na kidonda!!!:A S 13:
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Si ndio zao hawa maceleb wa kike, wataishiwa kuchunguliwa na kila mtu
   
 14. m

  mwanakaya Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Alimuonyesha au alichunguliwa?wivu tu wakusumbua
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Huyu dada ni mavi.
   
 16. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  is she famous or a celebrity?
   
Loading...