Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,056
- 23,510
Chukua uwezo wa kifedha wa Japan gawanya kwa uwezo wa kitanzania halafu zidisha kwa sita.
Kwa uelewa wako wewe Japan na Tanzania nani anauwezo wa ki fweza?
Kwa uelewa wako wewe Japan na Tanzania nani anauwezo wa ki fweza?
Tanzania ndio inao uwezo mkubwa wa kifedha kama serikali inaweza kumlipia ofisa wake shs Laki Nane na ushee kwa ajili ya "kukandwakandwa" hotelini unadhani mchezo?
Tanzania.