Japo walidhni watatuchanganya kiakili,kura kupiga kwanza vingine baadae sana.

m3zi

Member
May 19, 2013
32
0
Ratiba yangu ya siku ya leo
1. Naenda shule ya sec. Kimandolu kupiga kura.
2. Naingia kanisani kujumuijka na wenzangu ibada ya pili kumwomba Mungu leo mabomu yawalipukie wao wenyewe.
3.Kurudi eneo la kupig kura kuhakikisha hakuna anayepita na hot pot na chupa za chai za kura feki kama Arumeru mashariki.
 
ni kweli wameairisha makamanda. nadhani wanataka watuletee fedha kutununua maan walishaona kuwa wanapumulia mashine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom