Japo ni Mkristu navutiwa sana na wanawake wa kiislamu "Wanaovaa Hijabu"

Status
Not open for further replies.

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Habari za siku wanajukwaa..

Kiukweli sijui ni matatizo au hali ya kawaida, siku zinavyozidi kwenda najikuta kuvutiwa sana na mabinti wa kiislamu hasa hawa wanaovaa hijabu.. sina sababu maalum hasa nini kinanivutia.. ila nikimwona tu mtoto kavaa hijabu napagawa!

Mimi ni Mkristu Mkatoliki Pure kabisa, Je nikiwa na mwanamke muislamu itakuwa na impact gani kiimani? wazoefu tujulishane ulipodate na binti wa kiislamu ilikuwaje? ni sawa na wakristu wenzetu? Mlikutana na changamoto zipi za Kiimani!?

Baada ya hapo nipeni mbinu za kivita za kupata hawa watoto natumai wataituliza nafsi yangu!

Mabinti wote wa Kiislamu Mnaovaa Hijabu nawapenda sana!

Mkatoliki!
 
Status
Not open for further replies.
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom