Japo ni Mkristu navutiwa sana na wanawake wa kiislamu "Wanaovaa Hijabu"

Status
Not open for further replies.
kuna mtoto mmoja hivi mzuri but nawazaga kama ile ijabu anavaa kama fashion au laah adi nashindwa kujua kama ni muslim au mwenzangu na mimi#yupo kwenye mchakato
 
Habari za siku wanajukwaa..

Kiukweli sijui ni matatizo au hali ya kawaida, siku zinavyozidi kwenda najikuta kuvutiwa sana na mabinti wa kiislamu hasa hawa wanaovaa hijabu.. sina sababu maalum hasa nini kinanivutia.. ila nikimwona tu mtoto kavaa hijabu napagawa!

Mimi ni Mkristu Mkatoliki Pure kabisa, Je nikiwa na mwanamke muislamu itakuwa na impact gani kiimani? wazoefu tujulishane ulipodate na binti wa kiislamu ilikuwaje? ni sawa na wakristu wenzetu? Mlikutana na changamoto zipi za Kiimani!?

Baada ya hapo nipeni mbinu za kivita za kupata hawa watoto natumai wataituliza nafsi yangu!

Mabinti wote wa Kiislamu Mnaovaa Hijabu nawapenda sana!

Mkatoliki!
Pia uchunguzi wangu usio rasmi unaonyesha wanawake wa kiislamu hata wale walio ndoani kuchepuka kwao ni kitu cha kawaida. Yaani kawaida kabisa. Ninae mmoja nimeshamgeuzia kichwa kibra, namalizia dua nishushe kisu.
 
Habari za siku wanajukwaa..

Kiukweli sijui ni matatizo au hali ya kawaida, siku zinavyozidi kwenda najikuta kuvutiwa sana na mabinti wa kiislamu hasa hawa wanaovaa hijabu.. sina sababu maalum hasa nini kinanivutia.. ila nikimwona tu mtoto kavaa hijabu napagawa!

Mimi ni Mkristu Mkatoliki Pure kabisa, Je nikiwa na mwanamke muislamu itakuwa na impact gani kiimani? wazoefu tujulishane ulipodate na binti wa kiislamu ilikuwaje? ni sawa na wakristu wenzetu? Mlikutana na changamoto zipi za Kiimani!?

Baada ya hapo nipeni mbinu za kivita za kupata hawa watoto natumai wataituliza nafsi yangu!

Mabinti wote wa Kiislamu Mnaovaa Hijabu nawapenda sana!

Mkatoliki!
Mimi mwenyewe nawapenda sababu hawali kitimoto! Hawa wengine wa madhehebu ya kikristo unakuta amaejazia matako kumbe ni kwa sababu ya kufakamia kitimoto, hovyo.
Nishawahi kumkaza mmoja mzenji mvaa hijabu na madela, alikuwa mtamu balaa hadi namkumbuka kila saa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya majaribio mzee mwenzangu. Yaani mpk hijabu linamalizika kuvulika... mzee mzima anakuwa kashakuwa imara na kitumbua kinakuwa kishalainika tayari kuliwa bila kupoteza muda
Hahahah.....

Wakuu kuna moto jameni duh!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
uvaaji upi sasa hapa hasa?
b348fe6a547f761f924c3df494d8d9e8.jpg

Lazima useme

79c2e2f451f584029b97e063926d93bc.jpg

sema upi au uzuri wa sura zao unachanganya unasema mavazi?

d67501487e6b053728a02d19e52a3311.jpg

Tafakari upya ni mavazi au uzuri wao na tabia ya mienendo safi ya dini

f1930dbc41b488f3c138a1d91d03a9e3.jpg
 
Hijab ni vazi la mashariki ya kati kwa Waisrael, Wayaudi, Wamisri, Waarabu n.k hata masister wa katoliki nao wanavaa hijab so kama unalipenda tafuta hata mkristo mwenzio mshonee hijab avae
Tofautisha Kati ya hijab na vazi la stara. Hao masister wanavaa stara, hata wanawake wengi mjini wanavaa stara sio hijab .

Hijab ni Hii
👇👇👇👇👇👇👇👇

hijab-khimar-lycra-umm-hafsa-black.jpg

Na Hijab sio kufunika kichwa_, Hijab ni nguo ya heshma inayotakiwa mwanamke wa kislamuaivae, inatakiwa afunike mwili wake wote kasoro USO na viganja vya mkono. Hijab haitakiwi kumchora umbo mvaaji. Hata hapo ukiangalia avatar yangu nimevaa stara Ila sijavaa Hijab.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom