Japo ni Mkristu navutiwa sana na wanawake wa kiislamu "Wanaovaa Hijabu"

Status
Not open for further replies.
Kama umempenda halafu ni wa imani tofauti na unataka kufunga naye ndoa mtie mimba kwanza (hasa kama ni muislamu halafu ni mtoto wa alhaji au sheikh) , then mkafunge ndoa kwa mkuu wa wilaya then mkaibariki ndoa kanisani(wakatoliki inaruhusiwa) ..hiyo ndiyo dawa ya changamoto yako ya kiimani ...(hii siyo ya kufikirika , mimi ni mhusika mkuu)
 
Salute mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom