Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe

Nimenote kwenye hili la mafuriko na maporomoko Katesh, japo Chadema kama chama, CHADEMA yatuma salamu za rambirambi kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha maafa huko Hanang lakini viongozi wake huku mitandaoni ni ukosoaji la lawama kwa kwenda mbele
kwa kukosoa kila kinachofanyika!. CHADEMA, watu wa Hanang wanahitaji misaada sio lawama zenu
Mkuu sinza pazuri,
Naunga mkono hoja, kwenye majanga ya Kitaifa, lets stand united as one, kushikana mikono kusaidia!.

Kwenye majanga ya Kitaifa kama hili la Katesh, let's stand as one, tushikane mikono kusaidia!.
P
Yaani viongozi wa serikali wakijazana huko bila sababu tuunite as one?
 
Yaani viongozi wa serikali wakijazana huko bila sababu tuunite as one?
Mkuu Bila, Bila bila, kunapotokea shida au janga lolote, by just being there physically in person, even if you can't do anything, is something good and something big!. It creates nguvu fulani, positive energy ya the power of presence, the power of being there , the power of cooperation and the power of togetherness!. Mtu akifiwa, ukisikia yowe, ile kwenda tuu pale, huwezi kumfufua mfu ila kuwafariji wafiwa. Rais Samia, RC, viongozi, sio wataalamu wa uokoaji, but being there in person, does alot!.

Hii powers of togetherness and cooperation ndio imeifanya America great power, super power and the richest country!.

Mfano Samia anakwenda, Majaliwa tayari yuko kule, Mbowe akienda its great hata kama hapeleki hata toothpicks, lakini kwa vile Chadema ni wazuri kuchangisha, wakichangisha chochote na kutua Katesh na Helcopter ya Mbowe, it does great!.

P
 
Back
Top Bottom