money agenda
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 250
- 191
Nchi ya promo, it's promo everywhere!
Hizo A zako 30 zimekusaidia nini sasa?? Unakuta huyo BOSS hakuwa na hizo A30 bt katoboa...wacha umaandaziMimi sina wivu maana hata mimi nina mafanikio yangu ambayo wewe huyajui, lakini mtu hawezi kupongezwa sababu ya umri mdogo tu. Hata mimi nikitaka sifa, nitaweka vyeti vyangu hapa ambavyo vina zaidi ya A 30! Kumbe kitu kizuri zaidi ni kuonyesha hizo A thelathin zimelisaidia nini taifa. Kwahiyo mimi siwezi kumuonea wivu huyo jamaa, labda C students ndo wataona maajabu na labda watakuwa na wivu.
Wanawake wote wanaonizunguka sijawahi ona hata mmoja mwenye Akaunti "Benki ya Wanawake".Hii nchi ina mambo ya kipuuzi...benki ya wanawake?
Kwanini?, kivipi na ili iweje?
Na wanawake wajinga wanafurahia jambo hili, is what you call equality?
Hii itazidi kutengeneza gap between men and women. Kesho kutwa itaanzishwa barabara ya wanawake from Ubungo to Argentina. Awkward...!
Dogo mbona ameshazeeka sasa?Japhet Justine kwa mara nyingine tena amevunja rekodi za nchi hii baada ya kuteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa benki ya wanawake (TWB)...
Kiumri, ni kijana mdogo kabisa ( his age is around 34 yrs) kuwahi kushika cheo cha juu kama hicho katika sekta ya benki hapa nchini.
Ni kijana mdogo kiumri ila kichwani yuko very very smart...
Alimaliza shahada yake ya Bcom pale UDSM mwaka 2008, baadaye akafanya kazi ya uhasibu British council kabla ya kuhamia benki ya NMB. Huko nako alifanya vyema mpaka akapanda cheo na kufikia hatua ya kuongoza idara kubwa ya benki hiyo ya NMB.
Baada ya hapo pia alifanya kazi na benki ya ABC katika cheo kikubwa kabisa akiongoza kanda ya Mara....
Taarifa zinaonesha kuwa amepata pia mafunzo kwa ngazi ya masters nchini Afrika kusini.
View attachment 526837 View attachment 526838
Kabla ya Justine kuvunja rekodi hii, taarifa (nilizonazo) zinaonesha kuwa Patrik Schoeneborn ndiye alikuwa mkurugenzi mkuu mdogo kuliko wote hapa nchini, akiwa ni raia wa Ujerumani na mkurugenzi mkuu wa benki ya Access kabla ya kurudishwa kwao Ujerumani kushika nyadhifa za juu kwenye group!
View attachment 526839
Tunamtakia utendaji mwema kijana mwenzetu Justine katika kuingoza benki ya wanawake!