Japhet Justine, Mkurugenzi mkuu wa benki mdogo kuwahi kutokea Tanzania!

Kwa hiyo wote tuingie uwanjani tucheze? Huyo Samatta siku akivunjika mguu itakuwa imebaki stori ila aliyeenda shule hata akatike viungo vyote bado anamata

kwa kuwa mbwana samatta anachezea moja kati timu kubwa nchini ubeligiji,package yake ya health insurance sio ya kitoto.hata avunjike miguu yote miwili, hospitali atakayotibiwa na treatment atakayopewa ni first class.wewe na degree yako utaishia kuota tu ndotoni.

huo ndio ukweli japo wengi wetu tuliobahatika kuwa na "vidigrii" na kubahatika kuajiriwa katika "vikampuni" na "vitaasisi" vya kibongo tutabisha.
 
Dunia hatuwezi kuwa sawa kipindi samata atastaafu huyu atafanya kazi hadi umri wa Ndulu ili hiyo pesa ya samata iwe salama kwa nini kila wakati tunafananisha maisha badala ya kukubali kuwa kila mtu anafungu lake (naanza kuwachukia motivational speakers maana wanajza watu akili hewa)
Bahati mbaya kitufe cha like kiko kimoja
 
kwa kuwa mbwana samatta anachezea moja kati timu kubwa nchini ubeligiji,package yake ya health insurance sio ya kitoto.hata avunjike miguu yote miwili, hospitali atakayotibiwa na treatment atakayopewa ni first class.wewe na degree yako utaishia kuota tu ndotoni.

huo ndio ukweli japo wengi wetu tuliobahatika kuwa na "vidigrii" na kubahatika kuajiriwa katika "vikampuni" na "vitaasisi" vya kibongo tutabisha.
Kila mtu ana fungu lake jamani..mimi huwa naamini kila mtu anapokea kile kinachomtosha
 
jidanganye ukienda shuke ukatike mikono, uwe kipofu au kilema chochote halafu uendelee kuwa ceo.. labda kampuni iwe yako au ya baba yako

point yangu ni miaka 34 sio mtoto. kina ngowi hawajafika hiyo wana kampuni zao za mabilion..
Mkuu hivi umeelewa alichoongelea mtoa mada? Amesema mkurugenzi mkuu wa benki mdogo kuwahi kutokea. Hao unaotutajia ni wakurugenzi wakuu wa benki gani?
 
Kazi ni Kazi. Cha msingi ni kuipa mafanikio taasisi yake.
 
Credit to the guy..najua wengi wanachonga ila kijana yupo vizuri.
Na TWB kuwa hoi ni mahala pazuri zaidi kwa yeye kushowcase taaluma yake.

Bravo.
 
ndio maana tajiri na mmilki wa fesibuku "maki zubagi" machale yalimcheza mapema.

ila juzi kati ndio kapata degree yake kiubweteeeee....hii imekuja baada ya kumeki mkwanja wa kutosha ktk biashara zake za mitandao ya kijamii.
08c20e06eface0f04351cd5fa6e171d2.jpg
jambo msilojua ni kwamba ili dunia isonge wanahitajika watu tofauti tofauti au mnataka sote tuwe Samatta
 
Tuongelee mafanikio yake kazini, sio sifa za kuteleza tu. Hiyo benki iko hoi, mtuambie jambo la ubunifu alilolifanya ili kuibadilisha.
Watanzania tupunguze wivu kwa kijana mwenzetu

Tujifunze ku fight kama yeye
 
Back
Top Bottom