Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

Jiwe alikua pumbaf hajui Madini yote Dunia nzima ni Mali ya familia Moja tu na ole wako ujifanye mjuaji utaisoma Namba.

Yaani wao Ndio wanunuzi wakuu wa hayo Madini kiasi kwamba ukikataa kuwapa migodi na wao wakupe gawio kidogo hivyo hivyo angalau uambulie kitu wanakua wamefanya la maana kuliko waje wabebe Bure Tena Kwa mbinu Kali na usiambulie chochote au wagome kununua hayo Madini ubaki nayo kama mawe maana wao Ndio huyapa thamani.

Yeye akajidai anakuja na propaganda za ubeberu na masifa ya kumchezea chatu na Ile ripoti kioja iliyopingwa na Tundu Lissu Mpaka wakampiga risasi et msaliti.

Haya Nini kiliwakuta na Leo Kiko wapi?

Exposure ni kitu mhimu sana Kwa viongozi wetu!
Mkuu na wewe unaamini watu wenye akili kama wamasai ambao wanasema ngo'mbe wote duniani ni wao?
 
Back
Top Bottom