Japani mabigwa wapya wa kombe la dunia kwa wanawake

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,307
13,269
Hatimaye japani watawazwa ubingwa wa dunia kwa wanawake 2011,wameifunga marekani kwa penati, baada ya kutoka sale ya bao 2-2.wajapani noma
 
japan made my 9t, i culdnt be happier. afu wana midfield inacheza kama barca! naamini TAIFA STARs itachezea kichapo kikali ikikutana na hawa wadada, si chini ya goli 4, maana they mean bussiness!
 
Back
Top Bottom