Japan yatuma mtambo wa kufagia anga za juu

Sisi kukusanya za hapo Kariakoo tuu hatuwezi.

Jameni umeniacha hoi kwa kicheko hapa nilipo....haya bana, ila hawa Wajapani hawafai kuwa wanarusha vifaa bila kushauriana na nchi zingine ulimwenguni, maana anga yetu sote.
Hata kama nia yao nzuri, lakini waombe ruhusa kwanza, sio kuibuka eti leo wanasafisha anga, kesho kingine, mwishowe tutaona vitu vinatuangukia kutoka angani.
 
kazi yetu ni kutengua teuzi.kweli tupo ulimwengu wa tatu.na naunga mkono tamko la trump sisi kutawaliwa upya.
 
Kwa hiyo wewe unataka Mungu afanye hiyo kazi ya Kukusanya hizo taka?Mungu akichukua jukumu hilo wewe kazi yako itakuwa ni nini?Hiyo pumzi na majaliwa mengine kama Chakula,Mavazi na Malazi sharti uvilipie.Wajapan wanaelewa wajibu huo na ndio wanatimiza wajibu wao.Wewe kaa hapo usubirie Mungu aje "azoe" taka za angani! Kwanza Yeye ndo kaziweka?
jibu tosha kabisa.
 
Back
Top Bottom